Wewe waache tu, sasa hivi tunaenda na staili ya kukupumulia kwa nyuma ..hakuna kitu kibaya kama kupumuliwa kwa nyuma, mana hujui wa nyuma yako anakujaje na atakufanyaje ..Swafi sana maana City anafikiri atakuwa bingwa kwa idadi ya mabao safari ataona cha mtema kuni
na ww honga ufunge 9Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA kwa kuonga marefa hamjambo.
Nyie hamtakuja kumaliza legue mnalingana point wala magoli na wanaume kama citySwafi sana maana City anafikiri atakuwa bingwa kwa idadi ya mabao safari ataona cha mtema kuni
Tunakuja Emirates usikimbie au kujificha maana tuna kiporo chenu na siyo chini ya 3 mtulie na kusahau ubingwaNyie hamtakuja kumaliza legue mnalingana point wala magoli na wanaume kama city
Nyumbu ni nyumbu tu
Level zenu ni kina arsenal na chelsea hukooo
City nao wanaume kumbeNyie hamtakuja kumaliza legue mnalingana point wala magoli na wanaume kama city
Nyumbu ni nyumbu tu
Level zenu ni kina arsenal na chelsea hukooo
Somaa ubao ,wanaume tunaongoza league na game mbili mkononiCity nao wanaume kumbe
Mnaongoza au mmesimama mbeleSomaa ubao ,wanaume tunaongoza league na game mbili mkononi
Hahaaaaa
Kwani Chelsea hatukuwahi kushinda tisa? Mara mbili?Ndio timu ya kwanza kushinda goli 9 mara mbili
Hili li uzi litakataka nani ali view sasa?Big point wanataka kuushushia hadhi uzi wetu