Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahahahahahah Best left back EPL this Season, Kwa kipi ,kwa Product gani @ Chief-Mkwawa kwa Statistics zipi????

ROBERTSON Ana Assist 5 na Goli 1 mpaka sasa.

CHILWELL Ana Assist 4 na Goli 2.
1. Kigezo cha full back ni assist tu?
2. Robertson mbovu defense, AWB sio mzuri kivile kwenye ushambuliaji Ila alivyomkuta akawa anamgeuza geuza tu.
Your browser is not able to display this video.

3. Shaw ni mzuri kwenye kushambulia kama vile alivyo mzuri kwenye kukaba, anacheza hadi CB kwenye 3 back.

Toka mwaka huu uanze hakuna hakuna full back aliecheza key pass nyingi kuliko shaw, na ni stats za juzi kabla ya mechi ya jana ya 9-0 ambayo ametoa assist.
 
Good 3pnts!

Shaw ameimprove Sana , same kwa AWB, hasa upigaji wa Kross !!!

Fred was awesome

Good to see martial one score sheet, ata-gain confidence !!!


Kuna save moja hivi ya de gea, nadhani mpira wa adhabu ulipigwa na ward powse,,,ile save ukienda nayo bank unapewa mkopo within a second !!!

Points 3 za shelfield tutazikumbuka Sana , anyway!!!!!

#GGMU
 
Hili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
Nyie watu mnaonyesha jinsi gan mlivyo biased.

Bruno Ana goli 6 za penati,

Mo Sarah Ana goli 5 za penati,

J. Vady Ana goli 6 za penati.

Hawa wengine hamuwaoni.

Kitu kingine Bruno ni AM. Kazi yake kubwa ni kupika magoli. Na hiyo kazi anaifanya vuzuri.

Ndio Maana jana katoa 2 assists
 
Hayupo Left back yoyote EPL wa kumfikia Robertson ni HAYUPO .

NO ONE COMES EVEN CLOSE kwa EPL Hakuna.

Best left back in world football kwa sasa ni
Robertson
Alphonso Davies .

NBA
Mpaka sasa ligi ilipofika only defender aliye create More Big chances in the Premier league ni ANDY ROBERTSON Tu.

Nimekuuliza swali hapo Luke Shaw amemzidi nini Lucas Digne wa Everton, Au Amemzidi nini Chilwell????
 
Joao Cancelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…