Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Honestly kwa mchezo wa leo hasa kuanzia dakika ya 60s tulistahili kufungwa timu ilipoteana kabsa.

Mwisho wa siku hatukufungwa kutokana na kazi nzuri ya beki ya United..Donestk pagumu sana pale..hivyo Moyes alienda na tactic ya kuplay it safe...ambayo imezaa matunda ya kupata pointi 1 away..
 
Hapo tu pananifanya nikuone wa
wasiwasi...mshabiki wa Manchester United hawezi taja jina la timu yake
kama Man U!! Hilo jina ni kejeli kwa historia ya klabu!

aisee..! ebu niambie kvp ili niache kuitaja hivyo, maana mm na utd ni mwili mmoja!
 
Hawa watu wasiojua hata namna substitutions zinavyofanywa kwenye soka, wanapataje guts za kutoa shombo humu?!?

Wanajifahamu..siwataji...watajisoma..
 
Kumbe babu alijua team ishakuwa kimeo akaona aishie zake kimya kimya.. moyes atajibeba

Hayo ni mawazo yako kuona Timu ni kimeo. Ila ukweli Timu ipo sawa inahitaji kuongezewa nguvu kidogo baadhi ya maeneo kama Kiungo mkabaji sehemu ambayo ilianza kupigiwa kelele Tangu babu yupo hadi sasa (Toka aondoke Roy keane hajapatikana mtu wa kuziba pengo lake, Kuna kipindi alikuja Owen Hagreaves lakini kutokana na majeruhi akashindwa kuonesha uwezo wake)

Option ya kumsajili Semi Khadira ilikuwa ni sahihi kabisa kwani jamaa ni mzuri sana ila tatizo wamepeleka bid dkk za mwisho kabisa dili ikashindikana
 
aisee..! ebu niambie kvp ili niache kuitaja hivyo, maana mm na utd ni mwili mmoja!

Unafamu kuhusu Munich disaster ya mwaka 1958? Google tu utapata habari nyingi kuhusu hilo. Ila kwa ufupi ni tukio la ajali ya ndege iliyopelekea vifo vya wachezaji karibu wote wa Man United walipotoka kucheza mechi ya ligi ya mabingwa. Walifahamika kama Busby babes. Kuna mchezaji mmoja, Duncan Edwards hakufa pale kwenye ajali, ila alikuja kufa baadae.

Sasa baada ya ajali hiyo, washabiki wa West Brom. wakawa wanaifanyia United kejeli kwa kuimba:

"Duncan Edwards is manure, rotting in his grave, man you are manure, rotting in your grave".

Hapo ndipo neno 'Man U' likazaliwa.

Kisha washabiki wa Leeds na Liverpool wakatia chumvi zaidi kwa kuja na chants zinazosema:

Leeds: "Man U Man U went on a plane. Man U Man U never came back again"

Liverpool: "Man U Never Intended Coming Home" (if you combine the first letter of each word you get the word Munich)

Vyanzo

m.bleacherreport.com/articles/793950-manchester-united-can-we-stop-calling-them-man-u

www.sportsgrid.com/soccer/referring-to-manchester-united-as-man-u-is-disrespectful/

community.manutd.com/forums/t/4772.aspx

Natumaini hutorudia tena kuita Manchester United jina hilo.
 
Hayo ni mawazo yako kuona Timu ni kimeo. Ila ukweli Timu ipo sawa inahitaji kuongezewa nguvu kidogo baadhi ya maeneo kama Kiungo mkabaji sehemu ambayo ilianza kupigiwa kelele Tangu babu yupo hadi sasa (Toka aondoke Roy keane hajapatikana mtu wa kuziba pengo lake, Kuna kipindi alikuja Owen Hagreaves lakini kutokana na majeruhi akashindwa kuonesha uwezo wake)

Option ya kumsajili Semi Khadira ilikuwa ni sahihi kabisa kwani jamaa ni mzuri sana ila tatizo wamepeleka bid dkk za mwisho kabisa dili ikashindikana

Umeongea jambo murua sana...toka ameondoka Keano, hatujapata middle wa shughuli kama yule...Owen isingekuwa majeruhi angeweza kuwa mbadala mzuri..Fellaini naona yeye hawezi hiyo kazi..anafaa kama middle kabla ya washambuliaji...dogo Herrera hasipoleta pozi Januari atakuwa poa..

Ngoja tuone Januari...
 
Hawa watu wasiojua hata namna substitutions zinavyofanywa kwenye soka, wanapataje guts za kutoa shombo humu?!?

Wanajifahamu..siwataji...watajisoma..

Ni kweli subs hawazijui lakini wanajua kutafsiri timu inapofungwa. Kuthibitisha hilo, sasa wanajua fika kuwa Man U ni majanga tupu.
 
Mimi simkilizi Moyes...napata habari moja kwa moja toka Aon training complex...

Kwa kuweweseka hujambo hizi habari zilitolewa saa moja kabla mtanange wa Minor Doneski haujaanza chacha wewe na upimbi wako unafikiri hizo habari zilitoka kutoka old trashford khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee imekula kwako.
 
......wakati huo huo, Zaha nae hataki mzaha

".......Wilfried Zaha denies being caught in bed with Moyes` teenage daughter"

ImageUploadedByJamiiForums1380850348.256101.jpg .....eti ndio maana hapangwi siku hizi.... Wacha1, Giggsy ndio role model wa hawa watoto, ona sasa?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuweweseka hujambo hizi habari zilitolewa saa moja kabla mtanange wa Minor Doneski haujaanza chacha wewe na upimbi wako unafikiri hizo habari zilitoka kutoka old trashford khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee imekula kwako.

Sasa inakuwaje unamjibu pimbi? Wewe nawe ni pimbi sio?!? Maana pimbi anaweza kufanya mawasiliano na pimbi mwenziye tu!!!
 
Back
Top Bottom