Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,264
- 43,417
Mkuu team yetu saizi mashaka tu wachezaji wemepoteza hali kabisa.Sociedad wamesawazisha kwa Leverkusen, 1-1..matokeo mazuri kwa United kama tukishinda hapa..
Mkuu team yetu saizi mashaka tu wachezaji wemepoteza hali kabisa.Sociedad wamesawazisha kwa Leverkusen, 1-1..matokeo mazuri kwa United kama tukishinda hapa..
Mkuu team yetu saizi mashaka tu wachezaji wemepoteza hali kabisa.
Gigss hawezi kasi ya hawa watoto.
Donestk ni ya Brazil ama Ukraine? Maana imejaa wabrazil tu!!!
Hakuna kiungo wa kumpelekea mipira Van.Duh! Chifu unatakaje? Donestk pagumu sana hapo..kupata droo ni sawa kabisa..tukishinda ni bonasi...
Beki imecheza poa sana...ukitoa kosa la Vidic...
Timu imecheza vizuri tu leo..
Labda timu ya baba yakeDuh! Jamaa wapo kifua wazi na baridi lote hilo??!!
Hii timu ndiyo illiichapa Chelsea mwaka jana?