Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Donestk ni ya Brazil ama Ukraine? Maana imejaa wabrazil tu!!!
wabrazir kibao pia wamepita hapo mkuu Fernandinho katokea huko na willian aliyesajiriwa na chelsea kama sijakosea.
Donestk ni ya Brazil ama Ukraine? Maana imejaa wabrazil tu!!!
siku hizi tumekuwa kama arsenal ya kipindi hicho, hatuna furaha ya ushindi.
siku hizi tumekuwa kama arsenal ya kipindi hicho, hatuna furaha ya ushindi.
Umechanganyikiwa ama? Mbona hueleweki kama ni baridi, vuguvugu ama moto?!?
Rooney alipata shin injury katika training..
Wacha kuweweseka wewe umemsikia Moya alivyochema au draw inakufanya uweweseke? Chubiri kesho watakavyomlipua kwenye magazeti nafahamu weye ni mtu wa kupata habari second hand khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wewe ni mshabiki wa Man United?
Kama ndiyo pole.
United leo wamecheza mchezo unaoitwa 'play it safe'. Donestk ni sehemu
ngumu sana hapo, Barcelona alikula kichapo hapo. Hakuna timu ya
Uingereza iliyoshinda hapo. Na ni United na Fulham tu kutoka Uingereza
ndiyo wameambulia pointi kwa droo.
Hivyo leo tactics za Moyes zimefanya kazi vyema sana...
Droo ni matokeo mazuri sana...
Zinafuata games 2 na Sociedad, home and away..if United wins both,
inaqualify raundi ya mtoano..
Mi man u damu..