Hili mkuu nakuunga mkono walau kidogo kulingana na muono wangu juu ya united.Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
Hili mkuu nakuunga mkono walau kidogo kulingana na muono wangu juu ya united.
Sijui hesabu za ole kuelekea ubingwa amezipiga vipi Ila anakuwa na mtizamo wa timu ndogo kila tunapocheza na timu zinazojiita top 6,anacheza kutafuta droo zaidi kuliko ushindi kwanza. Hii hali inanichukiza sana ila ndio basi tu.
Wewe unapambana na nini?
Ma men papaa Gx niajee...Nyie NYUMBU kama NYUMBU ndio nimerudi rasmi, PUNDA nyie.



Yn hapo alikuwa anaunganisha bila kutuliza, kwakweli siku hizi hatunja strikers wenye njaa.
Hehehehee kafunguliwaNyie NYUMBU kama NYUMBU ndio nimerudi rasmi, PUNDA nyie.






Huyu mtoto ananikera mm huyuu.
Huyo anaesema Ole out atakua ana matatizo ya akili.Acheni unafiki basi, leo hii mnamkataa wazi namna hii. Si tulikubaliana tukafunga mjadala tukasema OLE mitano tena
Ma men papaa Gx niajee...![]()