D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
wanalalamikia uamuzi wa red card.. Wanasema tukio la bruno dhidi ya xhaka lilikuwa kubwa zaidi kuliko la leo. Kama ni kweli marefa pamoja na var wajitathmini kwani malalamiko yameshakuwa mengi dhidi yaoArsenal kesha lizwa red kala mbili na moja ni ya kipa hakuna cha Aubemeyang leo
Wolves 2-1 Arsenal
