Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa wahtaji
JamiiForums444774380.jpg
 
Nyie takataka mna mpango gan msimu huu

Hata kikombe cha chai sioni mkichukua
 
Siyo kweli,tatizo lililopo hapo ni kwamba pamoja na hao big 6 kumsumbua bado na wadogo wanamsumbua sana. Ila laiti kama angekuwa anazifunga timu ndogo na kutoa draw au kufunga baadhi ya big 6 teams angekuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kubeba ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepoteza mechi 2 tu na watoto na moja ni kabla hatujakuwa fit. Kifupi mechi ya Shefield pekee Ndio tumefungwa na mtoto hali ya kuwa tunatafuta ushindi
 
Tumepoteza mechi 2 tu na watoto na moja ni kabla hatujakuwa fit. Kifupi mechi ya Shefield pekee Ndio tumefungwa na mtoto hali ya kuwa tunatafuta ushindi
Chief mkwawa uko genge moja na ole gunar sosha kuwatetea akina martial mnaihujumu timu yetu
 
Chief mkwawa uko genge moja na ole gunar sosha kuwatetea akina martial mnaihujumu timu yetu
mimi sina tabia ya kulaumu wachezaji, na mashabiki wa Man u wengi mambo yakienda vibaya huwa mnatafuta tu mbuzi wa kafara.

mechi za karibuni Cavani kakosa sana magoli, katoa boko tumefungwa lakini lawama zote anapewa martial na rashford. pogba mwenyewe anacheza vizuri sasa hivi siku moja tu akizingua utaona mitusi itakavyoanza humu au Maguire.
 
Ni radika huyu jamaa ana lawama ni balaaaaaaa.Anakufaga na Martial tu.
 
MATCHDAY

Sikutegemea kwenye hizi game mbili zilizopita tutaondoka na point moja tu..sikutegemea kabisa.

Timu yetu bado ina matatizo ya kiuchezaji pamoja na tactics lakini pia tunaangushwa sana na foward line yetu..wanashindwa tumia nafasi vizuri kwenye games muhimu..Rashford,Cavani,Martial,Fernandes,(Greenwood)**..Yaani wamekuwa na poor decisions pale wanapokuwa kwenye nafasi nzuri,msimu uliopita hawakuwa hivi na ilikuwa ikipigwa counter tu unajua hili goli.

Inabidi tustep-up tofauti na hapo tutakuwa nje ya top four hivi punde tu.

••••••••••••

MY STARTING XI vs SOTON

=========

De Gea

AWB Bailly Maguire Shaw

Fred Pogba

Greenwood Fernandes Rashford

Cavani

==========

GGMU
 
MATCHDAY

Sikutegemea kwenye hizi game mbili zilizopita kutaondoka na point moja tu..sikutegemea kabisa.

Timu yetu bado ina matatizo ya kiuchezaji pamoja na tactics lakini pia tuangushwa sana na foward line yetu..wanashindwa tumia nafasi vizuri kwenye games muhimu..Rashford,Cavani,Martial,Fernandes,(Greenwood)**..Yaani wamekuwa na poor decisions pale wanapokuwa kwenye nafasi nzuri,msimu uliopita hawakuwa hivi na ilikuwa ikipigwa counter tu unajua hili goli.

Inabidi tustep-up tofauti na hapo tutakuwa nje ya top four hivi punde tu.

••••••••••••

MY STARTING XI vs SOTON

=========

De Gea

AWB Bailly Maguire Shaw

Fred Pogba

Greenwood Fernandes Rashford

Cavani

==========

GGMU
Hawa wanakabia kwa mbele pengine James Leo ikawa siku yake kwa 4-2-3-1 ama Ole akapanga diamond na VDB.
 
★Bruno Fernandes has just one goal (a penalty) and zero assists in six league games against the Premier League's 'big six' this season

#GGMU

manutd |
IMG_20210202_122204_925.jpeg
 
★Manchester United against 'big six' clubs in the Premier League this season:

Man Utd 1-6 Tottenham
Man Utd 0-0 Chelsea
Man Utd 0-1 Arsenal
Man Utd 0-0 Man City
Liverpool 0-0 Man Utd
Arsenal 0-0 Man Utd

Six games, one goal, zero wins

#GGMU

manutd |
IMG_20210202_122145_221.jpeg
 
Back
Top Bottom