BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,901
- 11,700
Mganga Tambi tambiLiverpool kwa hii lineup haponi Moyes atamfanza kitu mbayaView attachment 1691072
Mganga Tambi tambiLiverpool kwa hii lineup haponi Moyes atamfanza kitu mbayaView attachment 1691072
Atakae bisha abishe ila kwa sasa Ole ni kocha kiliko Mourinhol
NdioHivi Man Utd inafanya vizuri kwa sababu ya Ole?
Atakae bisha abishe ila kwa sasa Ole ni kocha kiliko Mourinhol
Kesho nikipata muda nitapitia hii thread vizuri kuona ni wangapi wanapingana na kauli yako.
Hii timu ishajifia bado kuzikwa tuu
Siyo kweli,tatizo lililopo hapo ni kwamba pamoja na hao big 6 kumsumbua bado na wadogo wanamsumbua sana. Ila laiti kama angekuwa anazifunga timu ndogo na kutoa draw au kufunga baadhi ya big 6 teams angekuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kubeba ubingwaNilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
Kumbe wewe umeona ninachokiona. Hiyo manake Ole ni very average coachHili mkuu nakuunga mkono walau kidogo kulingana na muono wangu juu ya united.
Sijui hesabu za ole kuelekea ubingwa amezipiga vipi Ila anakuwa na mtizamo wa timu ndogo kila tunapocheza na timu zinazojiita top 6,anacheza kutafuta droo zaidi kuliko ushindi kwanza. Hii hali inanichukiza sana ila ndio basi tu.
Mkuu hicho si kivuli kizuri!Mpira kitu ya ajabu yaani kitimu hakina kichwa wala miguu kinamfanza kitu mbaya Mbappe, Neymar, Icardi na Di Maria.
Mkifungwa acheni lawama mjue mpira hautabiriki View attachment 1691076