Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli kabisa mkuu.
 
Kwenye kuucheza mpira hilo halina ubishi tatizo kuna wachezaji huwa wanatukosesha magoli mfano rashford na mwenzake Martial ni wajinga sn hawa watoto, huwa wanakosa magoli kizembe na kwa bahati mby huwa nafasi nzuri vinapata vyenyewe daah alafu vina namba kubwa mgongoni.

Hatuwezi kurudi kwenye makali yetu mpk hv vipumbavu viwe vinakaa benchi, yn tupate wachezaji wa ku replace hv vitoto na namba tuvibadilishe japo kamoja ndo kanatakiwa kaondoke kabisa kwenye hii timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…