Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukifungwa leo ni matatzo ya tactics za kocha au wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango. Wachezaji wetu Wana quality kubwa mno kulinganisha hao utopolo arsenal
 
Tukifungwa leo ni matatzo ya tactics za kocha au wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango. Wachezaji wetu Wana quality kubwa mno kulinganisha hao utopolo arsenal
Nina imani kubwa na hii line up labda Ole alete ufala tactically
 
Sasa martial hayupo hilo goal la kupunguza mtalitolea wapi
 
Martial mse.nge kweli rafiki yangu..

Wamehighlight hapa upuuzi wake wa juzi vizuri,nimechukia sana..hakupaswa hata kukaa benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…