Fellain wakutoka mapema bora hata aingie Giggs
Nasikia Rooney hachezi kwa sababu kapigwa tena? Nina hamu ya kumjua huyu mtekelezaji wa amri ya Pinda.
Bora aingie Kagawa..Giggs hataweza pace ya hawa Donestk....
Kagawa sawa ila Giggs ana uwezo wa kukaba nafasi, kutuliza mchezo na kupeleka mashambulizi kwa ddk chini ya 45 anaweza kazi hiyo