Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Hawa City kazi kuikamia UNITED tu lao wako shule ya soka.
Ndiyo tabia ya vijitimu vidogo..kukamia timu kubwa...leo wamekutana na moto...
Hawa City kazi kuikamia UNITED tu lao wako shule ya soka.
Dakika kama ya 5 bila kugusa mpira.Ndiyo tabia ya vijitimu vidogo..kukamia timu kubwa...leo wamekutana na moto...
Donestk equalises 1-1..great goal
Duh! wame chomoa?
Donestk equalises 1-1..great goal
Ndiyo..Vida alishindwa kufanya clearance mbali...