Kama umemuangalia vizuri Cavani haruhusu ule ujinga wa kipa kuwaanzishia mabeki, anazunguka pale kwenye 18 kwa spidi kubwa hawawezi kuanzishia mipira pale ovyo ovyo. Martial ni mvivu hawezi kudhibiti mabeki na kipa wanaanzishia mipira nyuma ambayo ni hatari sana.