Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha kujitoa Akili hivi Arsenal nayo ni timu kubwa!? Usilazimishe mambo
 
Leo man u ataenda gheto kiulaini tu
 

Aliondoka kwa hasira baada ya kuambiwa atakuwa mshambuliaji wa 3 ila hakutoka mikono mitupu aliondoka na medal ya uefa champions na club world cup kwa wakat huo alikuwa akiwaonesha wakina company, yaya toure, david silva,dzeko na micah richards na wengine watoto wa city medal za kimataifa zilivyo
 


Sipati picha tukishinda kesho,
Wachezaji inabidi wajazwe upepo wa kutosha. Siyo Rashid anakuwa kwenye boksi anataka beki wampishe ndiyo a-shoot. Anapaswa kupiga ikitokea ameingia kwenye yard kuliko kusubiri loose angle ambayo haipatikani, hapo tutashinda.

Frequency ya mashuti kwenye lango la opponent inambabaisha kipa na beki wanapatwa na kiwewe

Rashid anapoteza sana chances kwenye yard japo ana energy na bidii.
 
Mkuu Darmian umetisha
 
Umegusa mule mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…