Eh ushaanza matusi tayari.
Chukueni kombe hili linawangoja nyinyi tu.
Hahahahahahahaha balimi mbili za man city hazijakuyumbishaHizo veve unazokula hapo kwa mworombooo ziache mzee.
Ole ni wa pili katika ligi.Tuangalie msimu huu kati ya Sorskjaer na Arteta.
Sorskjaer katupeleka nusu fainali ya Carabao, Arteta aliishiia hatua za mwanzo tu.
Kwenye EPL Sorskjaer anaongoza ligi (ninavyo amini mimi) Arteta yuko nafasi ya 11 huko.
Sasa wewe ukiniambia Arteta ni mzuri wa mbinu nashindwa kukuelewa ni mbinu gani unazo zungumzia.
Ole ni wa pili katika ligi.
Arteta huu unaanza kua msimu wake full Arsenal. Ole ni msimu wa ngapi United? Hizo semi finals ni ngapi kashindwa kutoboa?
Ole ameikuta United kama Zidane alivyoikuta Madrid ya Ronaldo, Zidane aliwahi sema kua alikua akiwaambia wachezaji chezeni mnavyocheza mimi nataka matokeo.
Alitegemea uwezo wa wachezaji kuliko mbinu zake, same ipo kwa Ole, timu ilipo ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kuliko uwezo wa kocha.
Also aliyekutoa wewe nusu fainali ndiye aliyenitoa mimi robo.
Kumbe wewe bure kabisa kwa taarifa yako moja ya vitu vilivyomsumbua sana Arsene Wenger akiwa manager Wa Arsenal kuchukua ubingwa ni hilo la kukomaa kwa big four wenzake ilihali wadogo wakawa wanampa shida. Sasa kimahesabu tu, big six wanajieleza wako Sita na hawa wadogo wengine wako wangapi? Unakomaa na big six zaidi halafu unapoteza game nyingi kwa hao kina Burnley na wenzake unahisi utachukua ndoo!?Mpira ni takwim na takwim zinaonesha ili uwe bingwa wa EPL lazima uchukuwe points za kutosha from rivals sasa nyie endeleeni kuwafunga tu wakina burnley na west brom halafu mle vichapo kwa big six uone kama ubingwa mtaupata. Kuongoza ligi raundi ya kwanza is nothing subiri March mwishoni ndo ujisifie hapa
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).
Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.
Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.
Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.
Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.
Bruno kafanya nin cha ziadaBruno anaenda kuchukua tena hii tuzo ya mwezi December sijaona wakumzid hapoView attachment 1671835
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ole deserv it★Nominations for December's Barclays Manager of the Month
https://www.premierleague.com/news/1965712★
#GGMU
manutd | View attachment 1671863
Glory Glory Man UnitedHivi aka kamsemo GGMU maana yake n nn
Glory Glory Manchester UnitedHivi aka kamsemo GGMU maana yake n nn
Da thanks