Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizi umbwa tukiziambia hazina timu hazitaki kuaamini. Ngoja mpigwe pigwe kwanza


#COYG
#COYG
 
Ball possession of 39% explains why Manutd shots on target were a measly 2.

Both midfielders McTominay and Fred kept giving away balls cheaply and never had a single shot on target.

With such poor midfield stats, Manutd summer priorities ought to be to buy Grealish from Aston Villa or will never win anything tangible.

ManCity will win the league because without Aguero or Jesus they are still a complete team
 
Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA mpaka sasa bado mmelala tu
 
Hata man u hawakuwa na shogacavani
 
Naona umekiri mwenyewe mmezoea ushindi wa penalty
 
Mkuu tangu umezaliwa leo ndio umeongea point.
Kuhusu Grealish hata mimi sijui uongozi umeona nini juu yake, maana nafasi anayo cheza kuna watu wawili (Fernandez, Van de Beek) wanafanya vizuri katika nafasi hiyo.

Nahisi anakuja kuongeza lundo la wachezaji wasio na tija tu.

Pesa anayo taka kusajiliwa ni bora tuzielekeze kwa Halland, maana Cavani anaelekea ukingoni.
 
Mkuu mbona yupo Van de Beek?
Unajua me sielewi kwanini Sorskjaer amuamini huyu mwamba!

Hapa kwa Grealish tunaenda kupata hasara.
Kweli kabisa mkuu, kocha mwenyewe hajui kuwatumia bora wabaki huko huko.
 
Shabiki wa aseno (mfano wako) hamtakiwi kutamba humu, yani unatakiwa usome comment na ku like ama kupita tu.

Timu yako ipo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi.
Michuano tuliyo tolewa, wewe ulisha tolewa kitambo huko, sasa huo ujasili wa kuanza kuponda unautoa wapi, kama sio uchizi?

Ngoja 17 tukifungwa njoo, hata ukitaka kunya humu, akuna atakae kuzuia, lakini sio leo.
Hizi umbwa tukiziambia hazina timu hazitaki kuaamini. Ngoja mpigwe pigwe kwanza


#COYG
#COYG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…