Atabeba EPLNaulizwa swali hili ni kombe la mbuzi au lah?kama ni la mbuzi tuambieni Ole Mmasai kombe gani amebeba tangu ajiunge na Manchester United ?ole ni kocha ambaye hana uwezo wa kubeba kombe lolote duniani
Unamwambia nani?Huyu kocha havuki nusu final ya tatu hii
Basi tufanye Cavan moja na wao wakisema Aguero?Cavan
Unamwambia nani?
Mlimlinganisha na KDBTimu nzima ilikuwa hovyo..
Fernandes tunamuimba sana ila ana papara sana..eneo analocheza inabidi awe na precision..Sehemu ya kutoa pasi nyepesi ya goli yeye atafanya mambo mengi..na sio gemu ya leo tu,ni mechi nyingi nimeobserve hili..
Martial na Rashford wakikutana na beki ngumu kidogo tu wanakuwa milenda..Cavani arudi tu
There is no dought kuwa we are poorly trained team kwa United standard..hivi vigoli tunavyofunga vinafana karibia kila wiki..
4 semis bottled..
Hadi ujinga tumewazidi.Nishasema united hana uwezo wa kumfunga City
Tumewazid kila kitu
Haya bakin na maumivu yenu na mungu wenu
Wakimfunga Liverpool mimi naacha kushabikia mpira.Mbaya zaidi et ni title contender
Achen masiala wakuu, msije kuongea mbele ya wanaume hivo
Timu imeshajifia, bado kuzikwa
Then mnataka mkamfunge Liverpool anfied
Endeleen kuleta vichekesho
Nyie kubahatisha mlikuwa wapi?Huwez kuja hapa kutamba ukaachwa magoli yenyewe bahat tu
Nyie UEFA si mnayo na moyesLiverpool kabeba epl bila fa cup na carabao pep tukombe hutu tupo damuni toka buyern kule uefa anapigwa huwa hambulii
Nyie UEFA si mnayo na moyes
Ole shule hakwenda.Mara ya kwanza sio kosa ...kwenye football hata mara mbili pia si kosa...
Mara tatu ???
Last season semi final mbili OUT!
Hawa wazungu si ndio wana akili hawa? wameunda ndege na magari ?
Wame tutawala !?
Huyu Ole ni mzungu wawapi huyu hajifunzi kutokana na makosa yake!..
"keeping on solving the same problem with the same solution is madness"
Huwez kumfunga city ya Pep Guadiola kwa 4-4-2 diamond wala 4-3-3 yoyoteee hata upewe Xavi na iniesta kwenye ubora wao
Frank lampard ametoka kuhukumiwa na Pep juzi tu kwa kutaka kushandana kumiliki mpira kwa mfumo wa 4-3-3
...siraha pekee ya kumuua city ni speed ..
Mechi zote ole amepata matokeo vs Pep ni kwa speed ya wacheji ..inakuaje sasa leo anaanza ku shindana na Pep kati kati ya uwanja ...?
Hata upewe vioungo wote duniani Pep apewe wakina Fei toto sio wa kushindana nae Possesion na football kati kati ..
Ole kapata matokeo vs Leiceister city kwa kutumia 442 diamond kwa tabu sana kwa akili ya kawaida tu pep aliitazama ile mechi na kujua wapi atapitia na mapungufu yapi atumie kuwin game ndio maana kaanza na Fernandinhol badala ya Rodri ili Bruno na Pogba wakose freedom ...
Ukiacha na ukocha Ole hata Common sense yake inatia sana mashaka ..
Ni kuzakiwa kwake ulaya ulegend na Exposure tuuh ila hana alicho mzidi Dairagije ...
#ggmu
Wewe muimba taarabu tuPunguzuga shobo humu watu wanakudharau na kukupuuza leo una bahat hata nimekijibu
Man u kama mtibwa tu ila maneno sasaNdugu punguza ujinga basi kichwani kwako
Wewe muimba taarabu tu
Man u kama mtibwa tu ila maneno sasa
1. SpursTOP 4 EPL 20/21
1. ___________________
2. ___________________
3. Manchester United
4. ___________________
Bao la kwanza offsideMan u wanajua kufunga toka lini boss?
Anacheza kifaza sanaKocha km ataendelea kuuamini huu mku..n.d..u ku..n...u...ka utatughalimu sn.