Mara ya kwanza sio kosa ...kwenye football hata mara mbili pia si kosa...
Mara tatu ???
Last season semi final mbili OUT!
Hawa wazungu si ndio wana akili hawa? wameunda ndege na magari ?
Wame tutawala !?
Huyu Ole ni mzungu wawapi huyu hajifunzi kutokana na makosa yake!..
"keeping on solving the same problem with the same solution is madness"
Huwez kumfunga city ya Pep Guadiola kwa 4-4-2 diamond wala 4-3-3 yoyoteee hata upewe Xavi na iniesta kwenye ubora wao
Frank lampard ametoka kuhukumiwa na Pep juzi tu kwa kutaka kushandana kumiliki mpira kwa mfumo wa 4-3-3
...siraha pekee ya kumuua city ni speed ..
Mechi zote ole amepata matokeo vs Pep ni kwa speed ya wacheji ..inakuaje sasa leo anaanza ku shindana na Pep kati kati ya uwanja ...?
Hata upewe vioungo wote duniani Pep apewe wakina Fei toto sio wa kushindana nae Possesion na football kati kati ..
Ole kapata matokeo vs Leiceister city kwa kutumia 442 diamond kwa tabu sana kwa akili ya kawaida tu pep aliitazama ile mechi na kujua wapi atapitia na mapungufu yapi atumie kuwin game ndio maana kaanza na Fernandinhol badala ya Rodri ili Bruno na Pogba wakose freedom ...
Ukiacha na ukocha Ole hata Common sense yake inatia sana mashaka ..
Ni kuzakiwa kwake ulaya ulegend na Exposure tuuh ila hana alicho mzidi Dairagije ...
#ggmu