Hebu screenshot kutoka source yako nione.Sihitaji source yoyote sababu mechi nimeangalia Telles alicheza kama wing back na hata source yako inaonesha kama wing back. Na assume source yako ni ya ukweli 6+ by any means sio mbaya.
Nimekuuliza source sababu hio mechi telles alicheza vizuri zaidi ya Hivyo, hata source yako inajichanganya na sababu nimekupa hio ya Key pass.
Na Kuna kazi gani kuweka source kwanini unaZungusha huku na kule?
Kwani hicho kikosi unadhani ni chepesi??.
City nishamfunga mara kibao na vikosi ambavyo ni substandard..kinachohitajika kwenye hicho kikosi ni hardwork+Clinicalness kule mbele,City anakufa vizuriHicho kikosi hakiwezi mfunga city labda
Hii mechi dhidi ya man city itarejewa lini au mara hii haitokuwa na marejeo kama ilivyokawaida?City nishamfunga mara kibao na vikosi ambavyo ni substandard..kinachohitajika kwenye hicho kikosi ni hardwork+Clinicalness kule mbele,City anakufa vizuri
Sijafuatilia,,ngoja nichekiHii mechi dhidi ya man city itarejewa lini au mara hii haitokuwa na marejeo kama ilivyokawaida?
Cheza mpira wewe!!!
Cheza mpira wewe!!!
Haina marejeo mkuu ....Hii mechi dhidi ya man city itarejewa lini au mara hii haitokuwa na marejeo kama ilivyokawaida?
Ahsante sana kwa taarifa,Haina marejeo mkuu ....
ni game moja tu (Kwa mwaka huu walivyosema) nafikiri due to Corona effect
Yah ni kweli ....ole na vijana wake wakaze walau msimu huu wafanye Jambo.Ahsante sana kwa taarifa,
mechi yetu dhidi ya man city haiamuliwi na uwanja ila kitendo cha kuchezwa nyumbani ni faida.
Mbona unaipenda hii match kui quote Hali ya kuwa Unajua tunaongelea mechi ya Paris na sio Ya OT? Hii Telles alicheza wing back?Hebu screenshot kutoka source yako nione.
Source hii hapa.
Manchester United vs Paris Saint-Germain live score, H2H and lineups | Sofascore
Manchester United Paris Saint-Germain live score (and video online live stream) starts on 2 Dec 2020 at 20:00 UTC time at Old Trafford stadium, Manchester city, England in UEFA Champions League, Group H, Europe.www.sofascore.com
Iko hivi;Mbona unaipenda hii match kui quote Hali ya kuwa Unajua tunaongelea mechi ya Paris na sio Ya OT? Hii Telles alicheza wing back?
Hata Lingard apewe nafasiMy starting XI vs City kesho
======
Henderson
AWB Lindelof Maguire Telles
McTominay Fred
Greenwood VdB Pogba
Martial
=======
It's Carabao Cup guys hakuna haja ya kukamia at this moment
✓Fernandes anahitaji kupumzika,Rashford pia the same..Kitasa Bailly hakuna haja ya kukitumia..kuna game mbili za epl zenye umuhimu sana zinakuja na kama Victor hajapona basi Tuanzebe aanze
GGMU
Iko hivi;
Hiyo mechi mliyoshinda haina direct link. Inatakiwa uifuate kwa kubonyeza timu yoyote hapo kisha utaona game mliyoshinda, ukiiclick inakupa stats zote.
Ndiyo maana nilikuletea screenshots.
Sasa lete screenshots zako tuone kama zinapingana na nilichopost.
Naona tayari chupi imeanza kuwabana