Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Unajua maana ya Key pass? Ni pasi ambayo inaweza kuwa assist, so far Epl ni wachezaji watatu tu wenye average 3 key pass kwa match, Bruno, DE Bruyne na Grealish.
Je Unafikiri kutoa Keypass 3 kwenye match Moja ni Jambo Dogo?
Na link ya source ni ipi? Picha Picha kila mtu a naweza edit zake.
Ila timu kubwa inapofungwa na Arsenal inakuwa kama ina upungufu Fulani hivi asee. Mfano sisi Man U tunapocheza na Arsenal yaani huwa siwazi kwamba mpira una matokeo matatu. Hivi Cavan adhabu yake inaisha kwenye mechi inayokuja au ipi?
Flamini alisha stahafu, labda tumchukue Mukoko Tonombe aje asaidiane na Fred pale kati.wakuu liva kaangusha point, tumchukue mathew flamini yule wa zamani wa arsenal acheze kati pale tumtoe pogba. Ubingwa mapema tu mwezi ujao
My starting XI vs City kesho
======
Henderson
AWB Lindelof Maguire Telles
McTominay Fred
Greenwood VdB Pogba
Martial
=======
It's Carabao Cup guys hakuna haja ya kukamia at this moment
✓Fernandes anahitaji kupumzika,Rashford pia the same..Kitasa Bailly hakuna haja ya kukitumia..kuna game mbili za epl zenye umuhimu sana zinakuja na kama Victor hajapona basi Tuanzebe aanze
GGMU
Usilinganishe epl na ligi za ajabFlamini alisha stahafu, labda tumchukue Mukoko Tonombe aje asaidiane na Fred pale kati.
Mkuu, huyu City ana viporo vigumu vitupu.
Anamziki wa Evaton pamoja na Aston Villa, sioni akichukua points zote 6 huyo.
Yani sisi ubingwa tunaanza kujihakikishia kwenye mechi na Livakuku.
Tukichinja kuku tu, basi ubingwa uleeee.
Flamini alisha stahafu, labda tumchukue Mukoko Tonombe aje asaidiane na Fred pale kati.
Timu bora toka nianze kuangalia epl england hadi sasa
1.Manchester united 1999/2000.
2.Arsenal 2003/2004.
3.chelsea 2007/2008.
4.manchester united 2007/2008.
Mzee mbona unahama hama sana? Hauiamini source yangu yet unatumia contents zake kuniuliza maswali.Unajua maana ya Key pass? Ni pasi ambayo inaweza kuwa assist, so far Epl ni wachezaji watatu tu wenye average 3 key pass kwa match, Bruno, DE Bruyne na Grealish.
Je Unafikiri kutoa Keypass 3 kwenye match Moja ni Jambo Dogo?
Na link ya source ni ipi? Picha Picha kila mtu a naweza edit zake.
Hivi unawezaje kuiacha man city ya 2017/2018 walimaliza msimu na 100 points
Nyie mnaosema City tunaviporo vigumu
Nawaonea huruma, niwambie tu sisi tunakula yeyote anayekuja mbele
Everton tunampiga goli za kutosha
Villa tunampa kipondo cha hatari
Tutakuwa full mkoko, no Corona ,vyombo vyote ndan
Mtabaki mnaomba dua la kuku, huku mkimlaumu ole na Mungu wenu
Kesho tu tunawanyoosha
Kesho utd hanaa uwezo wa kumfunga City
Narudia tena, City tunamnyoosha utd kesho mpaka ole aombe pooooo
Saga chupa na pepsi ya baridi unywee dingiiHow about tumpotezee huyu mtoto maana hana jipya analofanya humu...Anashinda kwny uzi wetu na kazi yake ni kuandika ujinga tu!
Tumpotezee..
Saga chupa na pepsi ya baridi unywee dingii
Nakuja na jeneza
Kwani hicho kikosi unadhani ni chepesi??.Mwache Olesendeka aweka kikosi full mkoko hi kusema it's just a Carabao cup wakati hamna uhakika wa kikombe chochote msimu huu itawacost
Sihitaji source yoyote sababu mechi nimeangalia Telles alicheza kama wing back na hata source yako inaonesha kama wing back. Na assume source yako ni ya ukweli 6+ by any means sio mbaya.Mzee mbona unahama hama sana? Hauiamini source yangu yet unatumia contents zake kuniuliza maswali.
Source yangu ndiyo imekurekebisha wewe juu ya fornation. Mimi nimeelezea why hakua LWB wewe unakujs kuniuliza maana ya key pass? Haya ni masikhara