Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Kwanza ile game tuliwakosa kidogoBora ushabikie rede tu maana unaongea pumba sana. Man city ilichoizidi Man u ni kocha tu .
Mhh hii fixture si mchezo aisee, mechi zomeongozana si kitoto.
Mashabiki aina yako huwa siwaelewi kabisa, sijui ni utoto.
Kipi kinakupa uhakika wa kufungwa na Arsenal?
Hao Liverpool walisha kudhalilisha lini kimpira?
Hivi kunaulazima gani kuipenda Manchester United?
Watoto wa dogo munazingua kinoma.
Ungekua karibu ningekupa mbata hilo, mpaka wazazi wako wangenisusia nikulee.
Tunawafumga na lingard tu nyieKwanza ile game tuliwakosa kidogo
Ninahamu na nyie nyumbu
Walete hao united
Mnaenda kula kichapo heavy
Sio Arsenal mkuu, usiihesabie kabisa na ukitaka kuamini save hii comment.Hapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwa
So una suggest timu zote Uingereza ziache kuwa na wachezaji 24 badala yakw ziwe tu na wachezaji 11?- Kwa kipindi hichi Bruno.
- Timu kua bloated na wachezaji wasio na namba siyo dalili ya kua timu kubwa. Ni dalili ya kocha na benchi la ufundi kutojua nini kinahitajika kwa kesi ya man u ni DOF.
- Regardless. Netizens na wachambuzi wakasema man u inahitaji striker and boom ighalo huyu hapa.
Nimesema Telles amechezwa Wing back, na ndio perfomance yake kubwa ilipoanzia huko against psg. Shaw alicheza kama beki wa kati kushoto na Telles kama wing back wa kushoto.Hahaha chief ungeangalia kwa karibu ungenotice chief mkwawa alisema kuhusu telles kuchezeshwa wingman.
Hiyo mechi telles performance yake haikua nzuri ndiyo maana nikaulizia work rate.
Halafu straight up umedai nina matatizo. Huyo ni wewe sasa
Kwamba Chelsea 2007/2008 ni bora kuliko Man U 2007/2008?Timu bora toka nianze kuangalia epl england hadi sasa
1.Manchester united 1999/2000.
2.Arsenal 2003/2004.
3.chelsea 2007/2008.
4.manchester united 2007/2008.
Usikate tamaa Mkuu, ninachoona ni kuwa wachezaji wenu wamechoka inatakiwa wafanyiwe mzunguko kwa kupumzishwa japo safari bado ni ndefu lakini lolote linawezekana chini ya Klop na mzuka wenu wa motisha wa Liverpool FC "YNWA"Karibuni, sasa hivi sina expectations zozote na timu yangu, napokea inachonipa.
Usikate tamaa Mkuu, ninachoona ni kuwa wachezaji wenu wamechoka inatakiwa wafanyiwe mzunguko kwa kupumzishwa japo safari bado ni ndefu lakini lolote linawezekana chini ya Klop na mzuka wenu wa motisha wa Liverpool FC "YNWA"
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Pima kama inawezekana hili wazo lakoSo una suggest timu zote Uingereza ziache kuwa na wachezaji 24 badala yakw ziwe tu na wachezaji 11?
Mnafungwa 3 na psg telles workrate yake ilikua ni 6.4 wakati fred aliyetoka kwa red ilikua 6.0 hii workrate yake ilikua sawa na de gea lakini ni ndogo kuliko wachezaji wote wa ndani.Nimesema Telles amechezwa Wing back, na ndio perfomance yake kubwa ilipoanzia huko against psg. Shaw alicheza kama beki wa kati kushoto na Telles kama wing back wa kushoto.
Hebu lete ushahidi hapa kwamba hakuwa perfomance nzuri.
Uwe unazungumzia na Arsenal mkuu.Mzee clicks? Humu?
Nimetaja wachezaji wengi na unamuongelea de beek pekee. Umetaja games alizocheza sasa bro imekuaje haanzi tena?
Same ilikua kwa ighalo, he came akacheza kidogo kisha yupo benchi.
Unawataja telles na cavani kama waokoaji. Kwa cavan kws umri wake ni sawa, telles umri wake ni wa kumconsider aje kama sub ya kuokoa game? Workrate ya telles, LB, alivyocheza wingman mlijudge vipi humu?
Psg 3 man utd 1 telles alikuwa wing back?Mnafungwa 3 na psg telles workrate yake ilikua ni 6.4 wakati fred aliyetoka kwa red ilikua 6.0 hii workrate yake ilikua sawa na de gea lakini ni ndogo kuliko wachezaji wote wa ndani.
Katika ile game telles alifanya clearance moja tu.
Tackles 2.
Dribbled past 2.
Katika ground duels 7 alishinda 3.
Alifanya aerial duel 1 tu.
Alipoteza possession mara 17.
Alifanya faulo 2.
Alipiga krosi 8 ila 2 pekee zilienda golini.
Au siyo game hii?
Kila kitu na uzi wake.Uwe unazungumzia na Arsenal mkuu.
Nimeaddress mechi uliyotaja.Psg 3 man utd 1 telles alikuwa wing back?
Tulicheza 4-2-3-1 wing back anatokea wapi na tuna mawinga?Nimeaddress mechi uliyotaja.
Frasturation"I hear now that Manchester United had more penalties in two years than I had in five and a half years. I've no idea if that's my fault, or how that can happen." Liverpool Manager
Naona Klop tabasamu linamuishia, anahisi pressure. Asubiri January 17.