Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,020
- 51,537
Karibu tena .. uliadimika sana. Anyway kuchukua ubingwa maybe. Lakin kukaa top of table nope. Wanaweza kujikakamua wakabaki hapoMan Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
Naturally grealish is more of number 10 kuliko winger. Hata kama ole akimchukua. Accomodation ndani ya timu itakuwaje maana tayr kuna bruno pale namba 10?Mkuu Baba Chicco (ambaye naamini ni daemusin aliyejigeuza jina),nakubaliana na wewe kuhusu ubora wa grealish lakini je atatoa huduma tuliyoihitaji toka kwa sancho kama wideman upande wa kulia? Maana kwa mechi ya jana nilimuona kama namba 10 (ya bruno) zaidi kuliko mtu wa pembeni
kwenye mfumo wa 4-4-2 diamond atatufaa sana jack grealish, lile eneo alilokaa pogba atasimama yeye.Mkuu Baba Chicco (ambaye naamini ni daemusin aliyejigeuza jina),nakubaliana na wewe kuhusu ubora wa grealish lakini je atatoa huduma tuliyoihitaji toka kwa sancho kama wideman upande wa kulia? Maana kwa mechi ya jana nilimuona kama namba 10 (ya bruno) zaidi kuliko mtu wa pembeni
Mashabiki wote wa Man u waimba taarabu tu.
Bado siwezi linganisha Paul na Grealish. Sina imani na wachezahi wa Kiingerezakwenye mfumo wa 4-4-2 diamond atatufaa sana jack grealish, lile eneo alilokaa pogba atasimama yeye.
kama pogba atabaki na kuendelea kucheza kwa nidhamu basi upo uwezekano wa kucheza na kiungo mzuiaji mmoja huku paul akiwa namba 8.
- grealish + bruno + pogba/scott/matic/fred + scott/matic/fred
WeeehTumuuze pogba kumpisha grealish
Tatizo ni kocha na sio majeruhi.Tatizo ni upangaji kikosi tu,,,akiweka kikosi kizuri na sub za kueleweka hata huyo ole atatubebesha ndoo msimu huu..2020/2021.
Jambo hilo linawezekana mkuu...ila mchawi mkubwa wa ubingwa wa man u ni majeruhi..
Hilo ndy tatizo kubwa sana kwa sasa.
Hiyo hela itakayotutoka tutafurahi wenyewe.ile nguvu tulioitumia kupambana na michael zorc kwa ajili ya usajili wa sancho ni bora tuielekeze kwa grealish dirisha lijalo
Pogba hatabiriki mkuu.Weeeh
Hili nalo ni jipu tena kubwa
Man United kwa sasa sidhani kama wanahitaji la Right wing, kitendo cha Borussia Dortmund kiliwakera na kuamua kununua right wingers wawili ambao wanajipa muda tu wa kuanza kuwatumia.ile nguvu tulioitumia kupambana na michael zorc kwa ajili ya usajili wa sancho ni bora tuielekeze kwa grealish dirisha lijalo
Chomoa usepe🤪Shetwain nyumbu.
Bado 4 tuGoal contributions = Goals scored + Assists View attachment 1665441
mkuu hata majeruhi pia yanatugharimu sana,,Tatizo ni kocha na sio majeruhi.
Toka msimu uanze kuna mechi tulitakiwa tushinde sema kocha akatuangusha.