Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Punguza mahaba..angalia vitu kiuhalisia..Mtu wa kushukuriwa sana ni aliyepiga pasi
Ile pasi ilikuwa mbali sana pembeni kule. Haikuwa pasi ya mwisho ilihitaji mtu kama Rashford ku-control na kuwapunguza mabeki ili afunge. HAIKUWA PASI YA MWISHO.
 
Twende kazi Twende kazi Twende kazi..

Ngoja nikachukue kinywaji kabisa(Bia za baridi kama barafu) ili ni-enjoy vizuri hili mbungi

McFred hapo kati sina shaka sana

GGMU
 
Ile pasi ilikuwa mbali sana pembeni kule. Haikuwa pasi ya mwisho ilihitaji mtu kama Rashford ku-control na kuwapunguza mabeki ili afunge. HAIKUWA PASI YA MWISHO.
Akili ya kuutupa mpira maeneo yale je?

Angekuwa mjinga mwingine angeendelea kupiga vipasi visivyo na maana kwenye muda wa majeruhi.
 
Mkuu, huwezi amini, hata me kwa huyu jamaa (Matial) kuna kipindi ana ni kera, ila kumbu kumbu zangu zina niambia, huyu jamaa awapo uwanjani huwa tuna fanyaga vizuri.

Pia kuna mdau kashalizungumza sana hilo humu.
Bila shaka huyo Matial ndio siri ya ushindi wetu.
Japo simkubali kivilee, lakini siungi mkono wanao mponda humu.
Leo utatuunga..subiri.
 
OGS HATABIRIKI MKUU, KAMA BETTING USHALIWA.. HASA KWENYE VIUNGO HATABIRIKI KABISA.
My Starting XI vs Aston Villa kesho

=======

De Gea

AWB Bailly Maguire Telles

Fred McTominay

Rashford Fernandes Martial

Greenwood

======


Hapo mbele zifanyike some interchanges za nafasi kati ya Rashford,Greenwood na Martial

======
Vijana wakiweka 100% commitment+ umakini na hii game 3points ni mapema tu

======

We can't afford losing this one..hatuwezi kabisa aisee kulipokea hili.

El ghazi,Grealish na Watkins ni wakuwaangalia sana..najua AWB atamalizana na Grealish huku Bailly akimuweka mfukoni Watkins
 
Hata mm nilimwambia mwanangu mmoja martial kaingia kuna namna flani tumeanza cheza vizuri na ilikua kidogo tupate penati sema hakuamua kuangua one thing about him he has quick and good foot work
 
Naona leo n mwendo wa 4 4 2
Ole kaweka kikos cha ushind na anaonesha anataka matokeo kabsa leo yuko serious Pobga leo aki2lia tunashinda mapema mech hii akileta wenge jahaz linaweza zama mapema
 
MKUU JAMAA YAKO HUYO ANACHEZA MECHI 6 ANAFUNGA KAGOLI KAMOJA..NA NDIO STRIKER ETI..
MWENZAKE RASHFORD ANAPIGA MA-HATRICK HADI UEFA KULE.
Bora kuanza na martial kuliko greenwood
 
Kuna mambo 2, akili ya kuutupa na uwezo wa kuufikisha ulipokusudia
Akili ya kuutupa mpira maeneo yale je?

Angekuwa mjinga mwingine angeendelea kupiga vipasi visivyo na maana kwenye muda wa majeruhi.
 
Back
Top Bottom