Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

9462c7b4-f637-490c-a6ca-24dc3c5c0b64.jpg

United sijui tumpate wapi striker atakae mfaidi huyu mwamba
 
Tembeeni vifua mbele washabiki wa Man U maana kwa Ole Guna nyota ya matokeo iko powa msituige the Blues mkaja kumpata Kocha kituko mwenye mpira mwiiingi, mbwembwe na mahaba tele kwa akina Tammy hata kama hawajui lkn matokeo ni pointi 5 kwa mechi 5 zilizochezwa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Timu sio kabila ama mkuu njoo upumzike uku
 
TUACHE KUSIFIA UJINGA..KWA GOLI HILI LA RASHFORD UNAMSIFIAJE BRUNO??? KAPAMBANA MWENYEWE KAPUNGUZA WATU, KAWAGEUZA MABEKI KAPIGA SHUTI MWENYEWE KWA AKILI SANA. UNADHANI ANGEKUWA MARTIAL PALE TUNGEPATA KITU.
Kwani ule mpira alopasiwa ulishuka kutoka angani??
Halafu punguza chuki na Martial, akifunga mbona unapost humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom