Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapo angekosa goli hilo angelaumiwa na dunia nzima ,,

Rashford alikuwa kwenye impossible angle. ,,kupiga kwa pale alipokuwa ni Ku take risk ya kupoteza chance.
Cavan alikuwa kwenye good position ya kufunga..

Rashford kwa Sababu amefunga goli ,,hakuna aliyeona hilo

Alipaswa atoe assist mapema tu kwa cavan ,,,,yeye bado alikuwa anazunguka zunguka na mpira.

Alistahili kumpa Cavan afunge,

Angalia hiyo moves ya goli kwa makini.
Ni ukweli mtupu, mm sikushangilia lile goli niliona ni ujinga tu bila beki kujifunga ilikua imekula kwetu patricii sio kipa mbaya alikua hafungwi pale
 
Ni ukweli mtupu, mm sikushangilia lile goli niliona ni ujinga tu bila beki kujifunga ilikua imekula kwetu patricii sio kipa mbaya alikua hafungwi pale
Na kale kashuti kalikuwa kepesi tu..Patricio angekatoa kwa mkono mmoja.

Kimsingi jana hatujacheza vizuri..Timu inabidi i-improve kwenye namna nyingi za kiuchezaji na sio kuwa wakali tu kwenye counter.

Jana hatukucreate chansi za maana wakati mpira tumeuchezea kwa muda mrefu tu.
 
Hapo angekosa goli hilo angelaumiwa na dunia nzima ,,

Rashford alikuwa kwenye impossible angle. ,,kupiga kwa pale alipokuwa ni Ku take risk ya kupoteza chance.
Cavan alikuwa kwenye good position ya kufunga..

Rashford kwa Sababu amefunga goli ,,hakuna aliyeona hilo

Alipaswa atoe assist mapema tu kwa cavan ,,,,yeye bado alikuwa anazunguka zunguka na mpira.

Alistahili kumpa Cavan afunge,

Angalia hiyo moves ya goli kwa makini.
Rashfod japo kashinda ila ana tabia ya uchoyo wa pasi, kuna muda wenzake wanakua ktk nafasi nzuri ya kufunga ila yeye atajaribu kupiga golini na atakosa
 
Walianza kumuita mtu wa penat sasa je?

Hii namba ya jezi si ndio ilikuw ya scholes?
IMG_20201230_125359.jpg
 
Rashfod japo kashinda ila ana tabia ya uchoyo wa pasi, kuna muda wenzake wanakua ktk nafasi nzuri ya kufunga ila yeye atajaribu kupiga golini na atakosa
Jana asingefunga sijui ingekuwaje ukianglia had anaingia kwenye 18 mwenye alikuwa na uwezo ea kufunga alikuwa cavan aliachiwa space sana na wolves lakin rashford akachagua kupiga bahat nzur maamuzi yake yakawa yameenda sahihi bahati ipo
 
Mkuu, huwezi amini, hata me kwa huyu jamaa (Matial) kuna kipindi ana ni kera, ila kumbu kumbu zangu zina niambia, huyu jamaa awapo uwanjani huwa tuna fanyaga vizuri.

Pia kuna mdau kashalizungumza sana hilo humu.
Bila shaka huyo Matial ndio siri ya ushindi wetu.
Japo simkubali kivilee, lakini siungi mkono wanao mponda humu.
Kwamba hukuona pasi ya bruno anahamisha toka chini had juu kule ? Ushiriki wa martial kwenye like goli uko wap mkuu?
 
Rashfod japo kashinda ila ana tabia ya uchoyo wa pasi, kuna muda wenzake wanakua ktk nafasi nzuri ya kufunga ila yeye atajaribu kupiga golini na atakosa
Hakika kabisa mkuu,, ukiangalia hata jinsi alivyopiga ,,kama sio kumgonga defender wa wolves alikuwa anapaisha juu ya goli.

Cavan amekaa clear kabisa kishoot,,,
Duu!!!
 
Mkuu bila kocha kubadili kikosi,tungekuwa na wachezaji wengi majeruhi.... Rotation kwenye kikosi Ni muhimu kumbuka huu msimu ulianza tofauti km tulivyozoea ..

Wachezaji hawakupata muda wa kutosha kupumzika,Wala hakukuwa na tournament za pre season

Manchester Ni taasisi kubwa duniani,ina thamani ya matrilioni ya shilingi ,inauongozi thabiti ndo maana tunayaona haya mafanikio leo,ina watu wenye uweledi na wabobezi kila idara,

Sidhani Kama hawajui wanalolifanya,au sisi mashabiki tunajua kuhusu team zaidi yao
Kimsingi ni kwamba ile jana tulikuwa tunakufa au sale hii inatokana na rotation eneo la kiungo inafanywa sana pogba,matic na bruno wanapokuwa pamoja timu inahangaika sana kitu jana kimetuokoa ni utimamu wa bailly matic hana spidi pogba anakabia vidole maguire hana spidi ina maana kama kulikuwa na viungo wale wa jana halafu akacheza na lindelof kipigo kilikuwepo kuna pasi ya mwisho ilipigwa bailly aliblock kwa kuwa alikuwa mbio mpaka mafuta alikuwa anakutana na de gea kama ukiangalia vizur neto na yule mpakaa mafuta walikuwa na mbio sana bailly kafanya kazi kubwa mno matic na maguire walikuwa wanahaha tu ila wanapokuwa fred na scott timu inabalansi vizur sana fred ni mzur kwenye kukaba na scott bruno anafanya kazi yake kwa uhuru sana timu inanyumbulika
 
Martial alipoingia tu tukapata na goli.
Naanza kumwelewa Chiefmkwawa
timu inapaswa icheze top front martial left wing.

Cavani striker no 9.

Rashford right wing.

Bruno chini yao..

Ole analijuwa hilo tatizo lake sijuwi anakuwa ana nn?..

Na wote anapaswa awaanzishe..

Hyo top 3 ya man u ndy inayoleta matokeo mazuri always.
 
Martial alipoingia tu tukapata na goli.
Naanza kumwelewa Chiefmkwawa
timu inapaswa icheze 3 top front ,,

martial left wing.

Cavani striker no 9.

Rashford right wing.

Bruno chini yao..

Ole analijuwa hilo tatizo lake sijuwi anakuwa ana nn?..

Hyo top 3 ya man u ndy inayoleta matokeo mazuri always.
 
Wasiwasi wangu siyo maendeleo ya Man Utd, maana najua hamwezi kwenda game 4 bila draw, isipokuwa ni form ya timu yangu.

Vijana wanaonekana kama hawana motivation, game moja wanacheza vizuri, inayofata wanazingua.
Kama tutaweza kucheza mechi nne consistently kwa kupata ushindi walau na draw moja ni matokeo mazuri pressure kwenu itakuwa kubwa zaidi.
 
Kama tutaweza kucheza mechi nne consistently kwa kupata ushindi walau na draw moja ni matokeo mazuri pressure kwenu itakuwa kubwa zaidi.

Game ya leo tunaweza kushinda, hasa kwa sababu tumetoa draw iliyoisha, so vijana watakuwa motivated.

And then tukishinda ya Southampton (which is tough), kuna kivumbi kinafata kati yetu na nyie.

Game ya Liver na Utd itakuwa na mvuto sana kipindi hiki, naamini vyombo vya habari vitaitangaza kama decider wa ubingwa kama tutakuwa bado tunakaribiana kwa point 2 au kulingana points.

Safari bado ni ndefu lakini.
 
Sana leo mtashinda Southampton ni fixture ngumu japo bado ni timu inayofungika pia
 
Yaaani game ya Man Utd na Liverpool ndio inaamua bingwa

Acha utan braza

Game tano za mbele utaona table itakavokuwa
 
Back
Top Bottom