Wolves wako vizuri sana mechi ya leo ni ngumu tu.Nafeel hivyo pia..Wolves hawapo kwenye ule ubora wao tuliouzoea..tukishindwa kupata points tatu itakuwa ni mwendelezo wa upumbavu kutoka kwetu
Sawa sawa maoni yako.Cavani na ighalo wapo kwenye mipango ya muda mrefu?
Pellistri na traole wamecheza mechi ngap timu ya kubwa? Unajua kwa nn wamesajiliwa?
Huwez kudhamiria kuchukua ubingwa wakat una watu wa mipango mifupi ukiwa unajenga timu ndio maana nimekuuliza ile post ya mtu wa mpira?
Foward wao ni toothless bila Jiminez..Wolves wako vizuri sana mechi ya leo ni ngumu tu.
Everton
Liverpool
Wolves
Man city
Leicester city
Hizi ni fixture ngumu sana msimu huu.
Huyu kuna wakati anashika hadi ukapteni wa England anastahili sana kupewa United.Baada ya kuondoka Ashley Young, hakukuwa na mchezaji senior ambae alifaa kupewa ukapteni. Hivyo Maguire akapewa.
Hapo Bruno hakuwa Man U.
Sio busara kumnyang'anya Maguire, halafu ukampa Bruno bila sababu ya msingi.
Utasababisha divisions ndani ya dressing room.
USISAHAU,....NA MARTIAL ANA UHAKIKA SANA WA KUANZA.Ole huwa anatuangusha sana kwny mech za umuhimu na sometimes naona kama fixture yake haiangalii vzr
1. kutolewa group stage UCL n uzembe wakat ulishamfunga leipzg na psg mech za mwanzo cjui alikwama wap kumfunga yule bashekir home ñ away
2. jana kumuanzisha lindeolf kulia na james pia n uzembe katika team selection wakat Tuanzebe alicheza vzr tyu no.2 vs everton pia kumuweka nje cavan na greenwood unamuanzisha james msing mbio n ujinga
3. kutokuwa na first XI ya kuaminika mpaka mda huu pia n uzembe kila cku kikos kinabadilika mwny uhakika wa kucheza n kipa degea maguire na bruno wengne n kama ana bet leo nimuanzishe nan
Ole n ndez sana hatuwez kuwa mabingwa kwa akil ya Ole.
Dua la kuku
Subili mbwa mwitu anakuja kuwashow kesho
Form gani hiyo mkuu?Umewaangalia mechi 5 zilizopita?
Jamaa wako vizuri, nilitegemea wateseka baada ya Jiminez kuumia, lakini wameendelea ku-maintain form yao.
Hawakuanza vizuri lakini wamekuja kukaa sawa mbeleni huku.
MKUU NAKUHAKIKISHIA MAGUIRE NI KIONGOZI MZURI SANA, ANA TIMING NZURI, MIPIRA YA KONA YA PANDE ZOTE(KWAKE AU KWA MPINZANI) LAZIMA ITUE KICHWANI KWAKE. KUNA WAKATI ANAKUBALI YELLOW CARD (KUMVUTA MTU SHATI) KUOKOA TIMU ISIFUNGWE KWA UZEMBE WA VIUNGO.Bruno ni captain.
Maguire ni mpuuzi flani overrated.
WELL SAID ..Ukweli ni kwamba ole anafeli kupick wachezaji kuendana na fixture husika.
Ole anawachezaji wake anaowapenda ambao wanamgharimu maana inaonyesha hata kuwakaripia hawezi.
Mtu kama martial bila kificho ole ana mpenda sana, chunguzeni martial akishinda huwa anashangilia sana kuliko wachezaji wengine.
Nilichoka ile game ya psg penalty alipewa apige yeye wakati rashford ana goals 2 tayari.
Mimi binafsi naona ni heri aanze ighalo kuliko martial endapo cavani ni mgonjwa.
Bruno anatubeba sana ila atachoka atapoteza hari aliyonayo kwa sasa kama tutaendelea hivi
Bruno binafsi anaenjoy cavani akiwa uwanjani kuliko martial .
United tunauwezo wa kushinda goals hata 5 kila mechi tunazocheza kutokana na nafasi za wazi tunazozikosa,
Form gani hiyo mkuu?
AKILI YA HOVYO HII, MAN U NDIO TIMU YA KWANZA KUCHEZA BAADA YA X-MAS, YAANI WACHEZAJI WAMETOKA KUJIRUSHA JANA KESHO YAKE SAA SABA MCHANA WAKAINGIA UWANJANI, HILI HUSEMI.Nyie Man Utd mnapendelewa kudadeki
Watu wanakaa siku moja ndio wanacheza game nyie mmepewa siku kibao toka jmosi hadi jnne
Matchday.
Tumekuwa bottling masters..Kila inapotokea nafasi ya kujichimbia nafasi ya juu kwa mara nyingi tumekuwa tukipoteza hizo chances.
=======
My XI against Wolves..Today 23:00 EAT
Henderson
AWB Bailly Maguire Shaw
Fernandes Fred Pogba
Greenwood Cavani Rashford
----
✓Kama AWB bado hayupo fit Tuanzebe acheze na aambiwe yeye sio mtoto acheze kiutuuzima
✓Pogba aambiwe akiwa deep acheze simple..
✓Defence pia bado inabidi i-stepup,not good enough.
======
GGMU
Leo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.
Leo aingie na 4 2 4 1
Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka
Degea.
Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
Watacheza 12 mkuuLeo ushindi ni muhimu kuliko siku zote.
Sorskjaer asituangushe, apange nondo za kweli.
Leo aingie na 4 2 4 1
Cavani
Martial Pogba Fernandez Rashfood
Fred Mac Tomney
Show Bailey Maguire AW Bissaka
Degea.
Kikosi hichapo ata nyumba ya urithi naweka bondi.
Kwenye game tano za PL wameshinda moja,draw moja na kufungwa tatu..Hawapo form in my opinionWamemfunga Arsenal, Chelsea, wametoa draw na Tottenham. Hizo ni recent games.
Wolves wapo physique na mapafu ya mbwa, bila Fred hapo mid ni shida