Ni kweli ila leo sijaona makosa yake. Leo kama kawaida Ole kaendeleza ujinga muda mrefu sana Martial alipaswa kutoka.
Hata sub ya Tuanzebe aliharibu alipaswa kumrudisha Scott kati kati Eric aende kushoto sikuona umuhimu wa Tuanzebe kuingia ana makosa makosa tena ya kijinga.
Point moja away with Leicester sio matokeo mabaya sana lakini kinachonisikitisha ni tumeshindwa kulinda goli la muhimu zikiwa zimesalia dk chache sana mpira kumalizika...Huenda nisiwe sahihi lkn nadhani Wan bissaka angekuwepo leo matokeo yasingekuwa hv..