Bado sana mkuu tena sana scholes hata yale mapasi marefu anakupigia kitu ambacho scott hana Rooney na Scholes nilikuwa nainjoi sana upigaji wao wa pasi tunahitaji sana watu kama hawa
Alitusumbua sana na athletic bilbao mwaka 2010 kama sijakosea mi sijamuonea huruma solskjaer kakataa apigwe baba na mtoto kalipa zile goli 4 na ka chenji juu ander herrera na martinez walitukimbiza sana
Kwahiyo mtu akichimba madini habeti?
We haushangai tuna chati hapa.
Maana yake nilipo ni karibu na mjini, na mimi naishi mjini (montepuez) porini nachimba mjini naishi.