mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza