Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Liverpool anafungika kiulaini kabisa#mufc's January Premier League fixtures:
January 1: Aston Villa (H)
January 17: Liverpool (A)
January 20: Fulham (A)
January 27: Sheffield United (H)
January 30: Arsenal (A)
Kigezo gan kimetumika kumpa klop kocha bora?Asante aisee, I hope next squad Bruno atakuwepo, kama ataendelea kufanya anayofanya sasa hivi.
Kwa leeds tukileta mambo ya kuanza kufungwa tumekwisha.My prediction
Manutd 4-2 Leeds
BTTS
O3.5
Rashford of Manutd and Bamford of Leeds to score at any time
Kujadili Arsenal katika uzi wa United ni kutudharau sana mashabiki wa United.Lakini licha kuwa hoi Kuna kuzidiana ! Arsenal Ni zaidi ya hoi ! Inaonekana Kuna shida ya ndan ambayo sisi mashabiki hatuijui ambayo imepelekea kuathiri Hadi matokeo ya uwanjani !
Kigezo gan kimetumika kumpa klop kocha bora?
Wewe usingizi ulikuwa unakusumbua tumi nimelipa jero tu lakini nimejuta kuacha usingizi wangu hizo dk 45 za pili nimeenda zangu kulala maana nilikua naona tunarukaruka tu, mechi ya jana hatukustahili kupata aina ile ya ushindi kiukweli tunabahatisha mno sielewi hata tunacheza aina gani ya soka.
Tusijipe matumaini mkuu, Martial ni striker mwenye uwezo wa kawaida mno. Huwa napata hasira sana nikimuona kwenye lineup (bila kumsahau James)Kijana ni talent kubwa naamini atarud kwenye form.
Hahaha sema ya Bielsa kila mtu kashngaa yahn.......ila klop ni kocha mzuri lakn kwa mwaka huu flick robbed!Sijui Mkuu, mimi nilihisi angeweza kuchukua kocha wa Bayern.
Lakini pia swala la Bielsa kuwa kwenye top 3 nilishangaa.
Masho takataka kabisa siku hiz hata akifunga sishangilii magoli yake kima yule.Tusijipe matumaini mkuu, Martial ni striker mwenye uwezo wa kawaida mno. Huwa napata hasira sana nikimuona kwenye lineup (bila kumsahau James)
Wachokoze nyuki waone cha motoKwa leeds tukileta mambo ya kuanza kufungwa tumekwisha.
Sipati picha ulikua kwenye hali gani mimi nilikua dogo na ndio siku iyo iyo nikaanza ishabikia hii timu......Moja kati ya mechi ambazo siwezi kuzisahau hata kidogo.
Huo mstari wa mwisho ndio unachojivunia msimu huuArsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.
Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana
Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Na RB mlisema ivoivoWachokoze nyuki waone cha moto
Hahaha sema ya Bielsa kila mtu kashngaa yahn.......ila klop ni kocha mzuri lakn kwa mwaka huu flick robbed!
Hivi mafanikio ya Bielsa kisoka ni yapi?Kitu cha kwanza ni kujua ni watu gani wana vote au anapatikanaje kocha bora.
Maana kuna argument ya Neuer amekuwaje kipa bora wakati hayuko kwenye 1st eleven?
Below is an extract from Wikipedia:
The selection criteria for the coaches of the year were: performance and general behaviour of their teams on and off the pitch.
The votes were decided by media representatives, national team coaches, and national team captains. In October 2016, it was announced that the general public would also be allowed to vote.[1] Each group will have 25% of the overall vote.
Hivi mafanikio ya Bielsa kisoka ni yapi?
Naona anaimbwa sana..lakini nikimzoom simuoni.
Naona anaimbwa sana..lakini nikimzoom simuoni.
Anyway,ngoja tujipange tumfunge jumapili