Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The famous Italian referee Colina when asked about the greatest moment of his career:

"It was the last two minutes, I saw the Bayern players on the bench preparing to celebrate the title, the fans were happy in the stadium with their team being crowned the Champions League title.

Suddenly, Manchester scored two goals in two minutes and reversed the score. I will never forget how the English side were bursting with great noise as if they were lions roaring, while there was funeral silence in the Bayern stands,

The man United players were celebrating their second goal hysterically when I saw a Bayern player completely hopelessly fall to the ground and he was feeling great disappointment. I approached him and found nothing to say to him except, “Get up and fight you still have twenty seconds!!.

At that moment, I saw the true face of football, death and life in one stadium, people celebrating madly and people desperate to death !! ”
FB_IMG_1608094608083.jpg
 
The famous Italian referee Colina when asked about the greatest moment of his career:

"It was the last two minutes, I saw the Bayern players on the bench preparing to celebrate the title, the fans were happy in the stadium with their team being crowned the Champions League title.

Suddenly, Manchester scored two goals in two minutes and reversed the score. I will never forget how the English side were bursting with great noise as if they were lions roaring, while there was funeral silence in the Bayern stands,

The man United players were celebrating their second goal hysterically when I saw a Bayern player completely hopelessly fall to the ground and he was feeling great disappointment. I approached him and found nothing to say to him except, “Get up and fight you still have twenty seconds!!.

At that moment, I saw the true face of football, death and life in one stadium, people celebrating madly and people desperate to death !! ”View attachment 1651180
Aisee kingereza kina maneno matamu sana wallahi
 
man u kileleni ashinde kesho then kiporo tushinde then tuombe draw liver afee mana Tottenham ni
mkee wa jirani penzi lazima atoe

tatizo ni uyo gosweee penzi kitovu cha uzembe olee anaweza panga kitu cha ajabu kesho tukaduwaa wote
game ya kesho ni yakushinda nyingi sanaaaa
Msimu huu kombe halina mwenyewe sema tuna kocha anayejifundisha kazi, sasa kazi kwa OGS to prove us wrong
 
The famous Italian referee Colina when asked about the greatest moment of his career:

"It was the last two minutes, I saw the Bayern players on the bench preparing to celebrate the title, the fans were happy in the stadium with their team being crowned the Champions League title.

Suddenly, Manchester scored two goals in two minutes and reversed the score. I will never forget how the English side were bursting with great noise as if they were lions roaring, while there was funeral silence in the Bayern stands,

The man United players were celebrating their second goal hysterically when I saw a Bayern player completely hopelessly fall to the ground and he was feeling great disappointment. I approached him and found nothing to say to him except, “Get up and fight you still have twenty seconds!!.

At that moment, I saw the true face of football, death and life in one stadium, people celebrating madly and people desperate to death !! ”View attachment 1651180
Imenigusa
 
Duu!!! Long time aisee!!
 
Mambo magumu Sana EPL,,,,
Timu yoyote ile inakuadhibu muda na wakati usiotegemea

Hesabu zinagoma !!
Chelsea wamelambwa Tena ,,,,!!!

Hopefully klopp atadrop points kesho,,,

Mdogo mdogo tutalewana tu ,,,,

Gemu ya liva na spurs draw itakuwa fair results for us, ikibidi liva wakatwe kichwa, spurs tutamkamata tu huko January, akipata injury (key players) atapoteana !!

#GGMU

Liverpool hauawi Anfield, siku akifa ujue amefungwa na timu iliyoko kwenye relegation zone.

Siyo hizi top 6.
 
kubeba ubingwa wa ligi kuu ni ndoto nzuri ambayo kila mmoja wetu anaitamani itimie lakini tusisahau pia kuna uwezekano mkubwa pia wa kuikosa nafasi ya nne kama tutaendelea na mwenendo huu wa kutokuwa na uhakika wa kuzimaliza mechi mapema(tunajificha kwenye comeback uchwara dhidi ya timu dhaifu kimajina).

nafahamu ligi ya msimu huu imekuwa na mwenendo usiozoeleka kwa kuangalia zaidi takwimu za misimu miwili iliopita, nyakati kama hizi tulikuwa tukishuhudia timu inayoshika nafasi ya kwanza tayari imeshakuwa mbele kwa alama 8 au zaidi dhidi ya wapinzani tofauti na msimu huu ambao tumeshuhudia timu iliyo nafasi ya tano imeachwa kwa alama 5(sijaangalia msimamo hivyo huenda sipo sahihi) kwa tafsiri ya haraka hata timu ilio nafasi ya tano ina uwezo kubeba ubingwa msimu huu endapo watakuwa na consistency ya kimatokeo, tumeshuhudia baadhi ya timu zikiwa na matokeo mabaya ugenini (liverpool),
baadhi ya timu zina matokeo mabaya nyumbani (man utd),
baadhi ya timu zina matokeo mabaya dhidi ya decent team (chelsea) na baadhi ya timu system ya kiuchezaji ndio inawafanya wasiwe tishio kwenye harakati za kutafuta ubingwa (tottenham hotspurs)

tukiachana na hadithi za ubingwa bado kwangu mimi kama tutashindwa kupata nafasi ya nne litakuwa ni pigo kubwa zaidi kuliko hata pigo la maumivu tutakalolipata tena endapo liverpool atabeba ubingwa kwa mara ya 20, hii ni kwa sababu kushindwa kwetu kupata nafasi ya nne ndio utakuwa ni mwisho wa recycle hii ya ujengaji timu ilioanzishwa na ole gunnar kwa miaka hii miwili ya utawala wake na hatimaye tutaanza tena upya recycle na hapo hatujui kocha ajaye atakuja na fikra zipi hivyo basi tutakuwa tunarudi tena nyuma.

yawezekana jamaa ameshindwa kuingiza falsafa yeyote inayovutia na kueleweka ya kiuchezaji ndani ya uwanja kama walivyo walimu wengineo mfano klopp, guardiola, ralph hassenhult wa southampton na hata jose na timu yake ya spurs lakini hoja hiyo haiondowi ubora wa Ole katika sera yake ya recruitment ya wachezaji pale klabuni, eneo hilo pekee ndio linaninatamanisha tuendelee na huyu jamaa (mzee wa kujificha na double pivot hata kama anacheza na sheffield) japo kwa dirisha moja la usajili, kuna target nina imani chini yake tutafanikiwa kuzishusha pale klabuni dirisha kubwa lijalo lakini hilo litawezekana kama tutakuwa na tiketi ya UEFA.

bila ya uefa hatutokuwa na jeuri ya kuwavutia vijana wenye vipaji kwa offer ilio bora kama vile camavinga,grealish, upermecano n.k. kinyume chake tutumie nguvu ya fedha kama tulivyofanya nyakati zile za usajili wa pogba na wenzake kwa kuwaahidi mishahara mikubwa pamoja na bonus bila ya kusahau gawio kubwa la mawakala wajanja mfano wa raiola, pia kwangu mimi ni bora tuwe na fedha kidogo za kuimarisha maeneo muhimu ya kikosi kuliko kuwa na fedha nyingi zitakazopelekea kufanya usajili wa papara kwa lengo la kuirudisha timu kwenye njia ilio sahihi kama tulivyokuwa tukifanya miaka ya nyuma.

hakuna ulazima wa kuirudisha mentality ya kubeba makombe kwa kugombania kombe la uingereza pekee premier league) kwani bado tuna nafasi ya kubeba kombe la carling (carabao cup), FA cup na hata europe league.

kama nitakuwa sahihi(naruhusu masahihisho) hata timu bora ya fergie ilianza kwa kubeba makombe ya ligi kuanzia hiyo ya 1992mpaka hii 2007.
hata utawala wa mourinho alijenga mentality ya kukusanya makombe kwa kubeba kombe la ligi awamu zote mbili,
hata roberto mancini na man city walianza na kombe la ligi ya FA ndipo wakaelekeza nguvu kwenye premier league.
hata guardiola alianza na vikombe vya ndani ndipo akaelekeza nguvu kwenye ligi kuu.

hivyo basi sioni umuhimu mkubwa wa kutaka kumbebesha mzigo mzito wa malengo bwana Ole kwa sababu ya udhaifu ulioonyeshwa na wapinzani msimu huu (lack of consistency kwa timu zilizo zoeleka), tunaweza kujijengea dhana ya kubeba makombe kwa kuanza na haya makombe madogo yanayomficha mikel arteta na matokeo yake mabovu ya msimu huu, kabla ya mwezi April fainali ya carabao itakuwa imeshachezwa hivyo basi tuanze na hili kwanza ndipo tuwaze premier league na mechi zake 38.

najua wapo watakaokuja na mfano wa jurgen klopp wa kubeba makombe makubwa bila ya kushinda makombe madogo lakini tusisahau liverpool waliweza kufika fainali ya UEFA na kufungwa dhidi ya timu bora, msimu wa pili walishika nafasi ya pili kwa kuachwa alama moja dhidi ya manchester city ndipo msimu mwengineo wakabeba ubingwa wa ligi kuu ya England, wakati kiupande wetu sisi hatujawahi kushika nafasi ya pili kwa utofauti wa alama kidogo dhidi ya mpinzani na pia hatujawahi kuvuka hatua ya fainali kwenye michuano yeyote.

kwa liverpool na man city kwa sasa kushinda kombe la carabao halitokuwa jambo la kujivunia hata kidogo kwa sababu wao wameshajijengea alama ya regular contenders wa michuano ya ligi kuu ya uingereza na champions league ila kwetu sisi litakuwa ni jambo la maana zaidi.

nitamheshimu zaidi Ole Gunnar kama atazigeuza nusu fainali 3 za msimu uliopita kuwa ni makombe ya msimu huu na zawadi ya top 2 ya ligi kuu ya England.
 
Kwanini watu wa Netherlands wameongea negative sana juu ya usajili wa Donny ambaye kapata nafasi kwa haraka zaidi United kuliko ilivyokuwa kwa Mathis Delight ambaye hakupata nafasi sana pale Juventus msimu wake wa kwanza ?
kiuhalisia donny hajapata nafasi ya uhakika hapo klabuni na kwa form mbovu ya united kwa hii miaka 7 sidhani kama kutakuwa na taifa kubwa kisoka litakalofurahia mchezaji wao muhimu wa kikosi cha kwanza kuozea benchi, ndio maana hata france wamekuwa wakilalamikia kadhia hii ya pogba ya kuwekwa benchi haliyakuwa timu ya taifa ni regular starter.

kule juve bado wanahesabika ni timu shindani nchini kwao na hata barani ulaya kwa ujumla, vile vile kuwekwa benchi kwa de ligt watalichukulia kama ni suala la ushindani mgumu wa nafasi.

tusisahau pale juventus bado wanaishi kwa kuamini zaidi miujiza ya chiellini na bonucci na ingizo la vijana wengineo wanaotishia uhai wa de ligt.

kwa ufupi heshima ya manchester united imeshuka kisoka
 
nitamheshimu zaidi Ole Gunnar kama atazigeuza nusu fainali 3 za msimu uliopita kuwa ni makombe ya msimu huu na zawadi ya top 2 ya ligi kuu ya England.
Hakunaga kitu kinachoitwa top 2 Jombaa. It's either you are a champion or upo nafasi nne za juu. Hakuna tofauti kati ya mtu wa pili na wa nne kwa sasa pale Uingereza.
 
Hakunaga kitu kinachoitwa top 2 Jombaa. It's either you are a champion or upo nafasi nne za juu. Hakuna tofauti kati ya mtu wa pili na wa nne kwa sasa pale Uingereza.
kwa ubora wa timu kwangu naamini bado liverpool ni bora kuliko sisi.
kwa ubora wa mwalimu bado naendelea kuamini klopp ni bora kuliko Ole.

naamini ni swala la muda tu kabla ya liverpool hawajaigeuza hii form mbovu ya matokeo ya ugenini kuelekea consistency ya ushindi,, kwa kocha mfano wa ole kukuzawadia nafasi ya 2 ya ligi kuu na vikombe viwili (iwe ni carling, fa, au europe league) ni zawadi kubwa sana.

itategemea na utofauti wa alama kati ya mshindi wa pili wa nne, siamini kama kutakuwa na ufanano kati ya timu ilioshika nafasi ya nne ikiwa nyuma kwa alama 10-15 dhidi ya timu ilioshika nafasi ya pili.

ligi bado ni nyeupe sana ila sidhani kama itakuwa ni sahihi kuja kumhukumu Ole kwa sababu ya kukosa kwake ubingwa, hata jose aliwahi kushukuru kushika nafasi ya pili ya ligi kuu (timu yetu bado ina changamoto za kiuendeshaji)
 
Back
Top Bottom