kuna hatari ya kupewa adhabu ya real sociedad
sociedad na granada walikuwa na 6.72% hivyo basi uwezekano ulikuwa ni mkubwa sana japokuwa si kila muda inatokezea kweli. mfano arsenal anacheza na benfica mwenye 6.61% haliyakuwa wengineo wamegonga 7%.Dah, umetisha mkuu.
Kama uliona draw mapema vile.
Timu zote za UK kubwaga manyanga
Hahahahahahahahah Ila Mkuu umekata tamaa sanaaa.Wahispania hao..ni bora wametupangia mapema ili kama nikutoka tutoke mapema kabisa
Kwanini watu wa Netherlands wameongea negative sana juu ya usajili wa Donny ambaye kapata nafasi kwa haraka zaidi United kuliko ilivyokuwa kwa Mathis Delight ambaye hakupata nafasi sana pale Juventus msimu wake wa kwanza ?★Van Gaal on Donny van de Beek: “I hope his time will come, but I don't think he made a good choice.”.★
#GGMU
manutd | View attachment 1649861
Mikel Oryazabal, David Silva, Adnan Januzaj, Merino.
Tatizo siyo majina makubwa ila kipindi cha kwanza unauchapa khalafu cha pili ndiyo unakuja juu wakati biashara ni asubuhi na yule Adnan Januzaj ana usongo nasi lazima afungeMikel Oryazabal, David Silva, Adnan Januzaj, Merino.
Hao watu niliowataja ni wa moto kweliTatizo siyo majina makubwa ila kipindi cha kwanza unauchapa khalafu cha pili ndiyo unakuja juu wakati biashara ni asubuhi na yule Adnan Januzaj ana usongo nasi lazima afunge
Yuko vizuri na ajituma vizuriKwanini watu wa Netherlands wameongea negative sana juu ya usajili wa Donny ambaye kapata nafasi kwa haraka zaidi United kuliko ilivyokuwa kwa Mathis Delight ambaye hakupata nafasi sana pale Juventus msimu wake wa kwanza ?
Kwanini watu wa Netherlands wameongea negative sana juu ya usajili wa Donny ambaye kapata nafasi kwa haraka zaidi United kuliko ilivyokuwa kwa Mathis Delight ambaye hakupata nafasi sana pale Juventus msimu wake wa kwanza ?
Mou anachukua ndoo msimu huuKiutani utani mara top 4,mara top 2 mara ubingwa ,maake hakuna timu epl inayoweza sema ipo vizuri.
Kama liva anadraw na fulham bas tuwe na hope anything can happen