Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wtf..
 
Martial anapitwa magoli na beki wa chelsea zouma kweli haya ni maajabu
Una maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?
 
Una maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?
Nazungumzia msimu huu martial hana goli hata 1 na anauhakika wa namba hapo OT
 
Watu wanafiki juzi kamuanzisha Shaw mkafungwa mkalalamika kwanini Shaw kapangwa.
 
Una maanisha tangu record zao za walipoanza au msimu huu? Kwenye mpira kuna hali inaitwa form sijui unaizungumziaje ukisikia mchezaji yupo katika form na kutokuwa ktk form?
Ni form ya mechi moja au form ktk msimu mzima?

Sio kawaida kwa mchezaji kuwa out of form kwa mechi zote,.
Huku kunaitwa kushuka Kiwango..hakuna utetezi.

Nasisitiza tena apewe jezi no 666 ,,

kitendo cha kubaki na jezi no 9 ni kutudhalilisha man u..

Na kuwadhalilisha strikers wote legendary wa man u waliopita,,akina van nasteroy,,van persi, York nk
 
Pep amewafundisha wachezaji wake city hakuna kufunga goli ndani ya 18 mpaka pale mtakapo mpiga kipa chenga.
Baada ya kupata matokeo usiyoyatarajia ulibeba matokeo yako mfukoni naona unajipoza machungu

KDB alifumua mshuti pale darajani kocha wenu alikuwa conte chelsea anakufa moja kocha alikuwa nani wa city?
 
Angefungwa mancheter united post kama hii isingekuwepo
Na angefungwa manchester united dhidi ya manchester city hii iliojichokea moto ungelizidi(sina furaha na mwenendo wetu)
kitu pekee nilichokiona jana ni pasi nyingi zilizoanzishwa na de gea, maguire, lindelof, scott then bruno pindi anaposhuka chini na tukifika maeneo ya adui hatuna ubunifu wowote baraka ya kurudisha tena mpira nyuma.

ukweli usemwe tunacheza ovyo, sielewi ni kwa sababu gani mpaka leo timu kubwa zina dominate possession dhidi yetu halafu bado tunafurahia haliyakuwa kibajeti tunalingana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…