Uwanja huru mkuu hebu anza kulist sub alizoboronga kwenye ligi msimu huu.★Kwni swla la kusajili namba 10 ndio tusiongee kuwa hajui kufanya mabadiliko yaliyo Timamu acha hivyo bana kuna vitu anavifanya 100% perfect na tunaviona eh hichi katumia akili ila kunavingine nividogo sana kwa akili ya binadam na Bado ndivyo ana boronga mfano Mzuri swala la Sub nazani kati ya Subs alizofanya na zikaleta mafanikio i mean zakueleweka kwenye 100 ni 16 tu kwa Makadirio ya haraka tukienda makadirio ya kuturia hata hizo 13 hafikishi mimi namuelewa huyu jamaa ila kuna muda anaborongo tuache mahaba Mkuu★
Uwanja huru mkuu hebu anza kulist sub alizoboronga kwenye ligi msimu huu.
Msimu huu mechi tulizo dondosha points kihalali ni mbili tu ile ya Tottenham Hotspur na yaSiku ya game ya UEFA baada half time wamelud uwanjan camera zote kwa fred.. walikuwa wanajua huyu Nyekundu inamhusu.. ilibid awe benchi
Muda huo ole wangu kabet tu kamaa jamaa hatoki na red
Hivi si juzi tu Hapa analyst wote walitaribia Man United hatoboi kwenye kundi la Rb leipzig na Psg? Leo limekuwa kundi laini? Hivi kuna kundi gumu kushinda letu Uefa msimu huu?Msimu huu njia nyeupe sana si Uefa wala EPL kwa ubora wa wachezaji tulionao wangepata mwalimu anayejua kazi yake tungefagia kila kombe.
Mapungufu pekee tuliyonayo kwa sasa tuna mabeki wawili tu wa kati wanaoweza kucheza mechi zaidi ya 20 bila majeraha, nje ya hapo hatuna kisingizio kila idara ina watu wanaoweza kishinda taji lolote lile.
Kimsingi pale refa aliongozwa zaidi na busara. Hiyo ni mara ya kwanza kwa tukio kama lile kuisha na kasi ya njano. Siku ile PSG wanacheza ile mechi yenye kadi 5 nyekundu Neighmar alitolewa kwa kumgusa tu mchezaji mwingine shingoni. Kibinadamu ni ngumu kumlaumu refa maana kuna referree hawapendi mchezo uishe mapema kama ile game yetu na United, ya Martial vs Lamela.kile kitendo cha kumpiga kichwa mchezaji ni red card, binafsi sijaona utofauti wowote wa tukio alilolifanya na lile lililofanywa na martial dhidi ya spurs.
kuna rafu fulani alicheza jamaa akapewa kadi ya njano (refa alichemsha)
kipindi cha pili unarudi tena na wanadamu wawili waliokwisha onywa mara tatu na referee tena unacheza na neymar mjanja.
inashangaza sana
Pia kuna ile targel yetu Marcel Sabitzer niKuna yule mtanga Yussuf Poulsen kazi mnayo
Ole bado sana. Ni sawa na mtoto kamaliza tu kunyonya anapewa dozi ya makande na magimbi. Molde iko sawa na Wycombe Wanderers au Yeovil town, daraja la ngapi sijui huko. Sema mpaka mje mkubali huo ukweli wakati mshakuwa wenyeji wa Europa League kama Asteno au AC Milazo.Ole lawama zote zinamuangukia yeye...sijui ni kwa nini hawezagi kujiongeza, yaani hata sisi mashabiki tulikuwa tunajua kabisa yule Fred anakula umeme muda wowote nashangaa sana kuona kamrudisha 2nd half na bado kafanya makosa ya wazi refa anamuonya ila yeye OLE alihisi anacheza na southhampton akaamua liwalo na liwe may be atapata come back..
Arsenal ni wateja wa kudumu wa Jose, hata akipewa Oxford United.
Noma sana.Ila mpira huu..Arteta alipambwa kama binti anayeenda kuolewa..leo form yao ni yakua relegated
Eti Arsenal ni new Bayern Munich..Pumbaf
Kweli kabisa. Kwenye game yenu na West Ham juzi nilimsikia hata mtangazaji mmoja akisema Bruno anapokuwa uwanjani kila mchezaji anaanza kuhisi uhai. Unaweza predict kuwa bila Bruno mechi 6 United inaweza kuwa wapi.Ole hajui game management. Usimtetee.
In terms of team selection, substitutions bado sana. Hana impact yeyote.
Ni moods na forms za wachezaji ndo zinamuokoa kwa sasa ni Bruno.
Na hata ukiangalia mpira tunaocheza bado mbaya sana.
Kila mara tunatanguliwa kufungwa, the comes comeback ambayo hatutakiwa kujivunia.
Overrated manager★Thomas Tuchel is interested in becoming Manchester United manager and Manchester United are interested in hiring him, according to Le Parisien️★
#GGMU
manutd |View attachment 1643346
Ligi ndiyo kwanza tuko round ya kumi umejuaje hatutabeba kombe lolote ?Msimu huu njia nyeupe sana si Uefa wala EPL kwa ubora wa wachezaji tulionao wangepata mwalimu anayejua kazi yake tungefagia kila kombe.
Mapungufu pekee tuliyonayo kwa sasa tuna mabeki wawili tu wa kati wanaoweza kucheza mechi zaidi ya 20 bila majeraha, nje ya hapo hatuna kisingizio kila idara ina watu wanaoweza kishinda taji lolote lile.