Siku ya game ya UEFA baada half time wamelud uwanjan camera zote kwa fred.. walikuwa wanajua huyu Nyekundu inamhusu.. ilibid awe benchiKusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.
Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.
Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.
Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
tatizo benchi hakukua na mtu wa maana, mcsauce hakuwepo iliku ni Pogba ambae hana impact yoyote siku hizi. Mchezaji kucheza na njano ni kawaida. Mbona kina Lindelof hua wanakula njano dk ya 4 tu ya game na wanamaliza salama? Bet pale ilikua ni refa kutokua na presha ya kumpa kadi Fred.Siku ya game ya UEFA baada half time wamelud uwanjan camera zote kwa fred.. walikuwa wanajua huyu Nyekundu inamhusu.. ilibid awe benchi
Muda huo ole wangu kabet tu kamaa jamaa hatoki na red
Ma Chelshit yashapigwa ukoo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1642608
HaaaahaaaaaaaaaMkuu vip uliendelea kufurahi au ulinuna baada ya mechi kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona sasa mkuu tumeluka mikojo tumekanyaga mavitatizo benchi hakukua na mtu wa maana, mcsauce hakuwepo iliku ni Pogba ambae hana impact yoyote siku hizi. Mchezaji kucheza na njano ni kawaida. Mbona kina Lindelof hua wanakula njano dk ya 4 tu ya game na wanamaliza salama? Bet pale ilikua ni refa kutokua na presha ya kumpa kadi Fred.
Picha inatoa ujumbe Fulani hasa kwa yule anayeokota mpira wavuni huku wenzie wakishangilia hakutaka kupoteza muda, na kweli ndani ya dk 3 akawarudisha tena..★[emoji935] FT |
West Ham 1 - 3 Man United
[emoji460]️ Soucek - 38'
[emoji460]️ Pogba - 65'
[emoji460]️ Mason - 68'
[emoji460]️ Rashford - 78'★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1642660
Picha inatoa ujumbe Fulani hasa kwa yule anayeokota mpira wavuni huku wenzie wakishangilia hakutaka kupoteza muda, na kweli ndani ya dk 3 akawarudisha tena..
Muendelezo na moto ule ule aliotoka nao ureno
- Manchester United have won more points in the Premier League since Bruno Fernandes made his debut (51) than any other team.
- Since his debut in February, Bruno Fernandes has been directly involved in 36 goals in 38 games in all competitions for Man Utd (22 goals, 14 assists) – five more than any other Premier League player in this period.
Mkuu huu ushindi kwa come back sio salama
Ni rekodi... SAWA
Lakini ni meaningless rekodi
Kuna muda/kipindi huu utaratibu utatu cost, na kwa mbaaaali ninahisi utatu cost UCL
Ole anashinda kubwa sana kwenye kufanya team selection (siku hizi kwenye hilo eneo ana improve) na sub
Ningekuwa nauwezo wakufika mahali alipo hakika nakiri kabisa ningebusu miguu ya huyu jamaa, anafanya kila kitu kwa ajili ya timu. kutoka kwa lingard na pereira wakicheza namba 10 nilikuwa nateseka sana.★Bruno Fernandes has now provided 11 league assists since his Premier League debut, no player has provided more in that timeframe.
It took him just 20 minutes on pitch to set up Man Utd's equaliser.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd | View attachment 1642671
Ole mpaka leo anashindwa kufanya sub zenye akili anashindwa vipi kutoa comment ya aina hiyo?nyie jamaa aisee, umewahi kuona wapi timu ya Epl mtoto kama greenwood anaongoza line? last time Rooney kutumika kama Hivyo walimvunja miguu mara mbili.
kabla ya mimi na wewe kumjua greenwood anafanya nini, martial na rashford wapo kwenye form tumempiga 4 chelsea, ole kwenye press conference akasema hajawahi kuona finisher mzuri kushinda greenwood, akimsifia kama mmaliziaji bora kwenye kikosi chake. na akampanga tukaona anafanya nini.
so far yupo safe kule kulia, greenwood akianza katikati defenders wanaweza haribu career yake mapema tu.
Niliandika juzi hapa.2nd half ukiangalia unasema hii timu inaenda kubeba EPL asubuhi na mapema..lakini ukirejelea ile 1st half unabaki umeduaa..Na hii ndo shida ya United hii ya Ole..You don't know what you gonna get with this team really..Tuna kikosi kizuri kushinda vyote toka zama za mwisho za fergie na post fergie..
Imagine..tunaanza na Scot,Pogba,na VdB kwenye mid huku Fred,Matic na Fernandes wakiwa hawapo..
Ole inabidi a-up his game msimu huu tufanye kitu..It's always look like Fernandes team
Next game ya UCL ni real big test ya utimamu wetu msimu huu..
Ole hajui game management. Usimtetee.Ni sawa si ushindi salama, ila atleast ni point kwamba anajua kufanya sub
Poor Game management kwa benchi letu la ufundi.Siku ya game ya UEFA baada half time wamelud uwanjan camera zote kwa fred.. walikuwa wanajua huyu Nyekundu inamhusu.. ilibid awe benchi
Muda huo ole wangu kabet tu kamaa jamaa hatoki na red
Man united ilikuwa na shida ya no 10, ole amefanya usajili, no 10 inafanya kazi.Ole hajui game management. Usimtetee.
In terms of team selection, substitutions bado sana. Hana impact yeyote.
Ni moods na forms za wachezaji ndo zinamuokoa kwa sasa ni Bruno.
Na hata ukiangalia mpira tunaocheza bado mbaya sana.
Kila mara tunatanguliwa kufungwa, the comes comeback ambayo hatutakiwa kujivunia.
Ningekuwa nauwezo wakufika mahali alipo hakika nakiri kabisa ningebusu miguu ya huyu jamaa, anafanya kila kitu kwa ajili ya timu. kutoka kwa lingard na pereira wakicheza namba 10 nilikuwa nateseka sana.
Man united ilikuwa na shida ya no 10, ole amefanya usajili, no 10 inafanya kazi.
Then from no where munamponda Ole Hajui anabebwa na wachezaji.
Hivi hata haikujii akilini wachezaji wetu wana overperform sababu kocha anajua awatumie vipi?
Again hizo comeback zinatoka wapi kama sio sub?
Hebu tu assume wachezaji wanaweza kumbeba kocha.
Striker
Rvp, Rooney, Falcao
midfield
di maria, mata, michael carrick, herrera etc
hivi huo mziki on paper na kikosi chetu cha sasa kipi kizuri?
di maria anatoka kuwa top assist, na mmoja wa wachezaji bora duniani assist 25 msimu mmoja, rvp on form world cup, blind naye top assist world cup, rojo on form na argentina, falcao top marksman, rooney naye ni rooney jumlisha na viwango vya kina carrick na herrera, valencia, young, mata na wengineo,
kama wachezaji mkuu wanambeba kocha hao wangembeba lvg, na tungebeba ubingwa.
Alafu kuna moja alitaka kuiunga km RVP sema ikakataa [emoji2][emoji2]