Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Bila kudra za Sir God tungekua tumepigwa hata 3 mda huu, hii timu tunafungwa sawa hata tucheze vizuri basi tufurahi dadeki.
Mimi naona tatizo ni Martial akipewa mipira ananyang'anywa na inakuwa hatari zaidi.
Bishoo atoke aingie Bruno.
Nimemisa fred asee.
Wan Bissaka kafanya kazi dah.
UJINGA MTUPU HUU, NADHANI HUYU MARTIAL ANA KADAWA KIUNONI.Hivi unamtoa cavani unamuacha bishololo Antoni? Hizi ni akili au mavih
Tunaweza kuingia top 4 leo
Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:
1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.