Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani kapanga kikosi kizuri ila huyu OLE kwenye ishu ya kufanya SUB sijui kama hawaogopi wachezaji
 
Nilishangaa sana kipindi cha pili kumwona Fred hata camera zilikuwa zikimfuatilia wakati anaingia uwanjani.

Fikiria commentator walibaki wakishangaa,wachezaji wa kuchukua nafasi yake wapo eti sasa hivi ndio anawaingiza wakati tuko nyuma kwa bao moja na mchezaji mmoja pungufu.

Sijawahi kuona uzembe wa kiwango hiki tena katika level ya champions league!.Nadhani hii nafasi ni kubwa sana kwa Ole,amekuwa na tabia ya kuchelewa kuchukua maamuzi.
 
Anatuchania mikeka yetu huyu
 
Chukue Giroud, leo katupia goli 4 peke yake
 
Acha kumkaripia baby face
 
Ole ni Kocha mpuuzi kabisa.. hapo hata Juma Mgunda angejua nini cha kufanya baada ya kuona DM wake kala njano kipindi cha kwanza.
 
Qualification inakuwaje hapo?
9 points
9 points
9 points
3 points.

Duh
 
Tulale sasa Ole sendeka
ila Martial alikosa pale dah. Naona dalili ya Europa league maana hiyo game ijayo nayo moto.
Fred aaah hata Julio kiwelo angeona kwamba alistahili sub but ole knows better allamseki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…