Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakumbuka mwanzo alichezeshwa hiyo nafasi pamoja na hao madogo,hoja ikawa amezungukwa na mediocre players wakati hao hao wakimzunguka bruno tunaona ubora wake.
Bado haijulikani pogba anataka nini ili awe kwenye ubora wake.
Labda UTD iwasajili wachezaji wote wa France National team waje kucheza pamoja na PP ndio ata deliver..
 
Kumbuka
Ni kwl hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya club.
Lakini pia tuangalie yeye pogba analalamikia kitu gani?

Isije ikawa tatizo ni ole ,,,kwani pia hakuna kocha mkubwa zaidi ya club.
Anapaswa afate ushauri ..
Meneja wake wa kwanza pale united alikuwa mourinho,naye pia walivurugana.
Watu humu tulimtetea kwa kutambua shobo za mourinho,tukajua pogba anaonewa.
Ole amekuwa akimtetea hadharani sana kama inshu iko kiufundi,vipi kuhusu wachezaji wengine?
Tatizo la pogba alitaka kuishi maisha ya beckham na ronaldo pale united ndio maana soka linamshinda.
Huu ni mtazamo wangu lakini.
 
Mawazo kama haya ndiyo yanayoichelewesha hii timu
 
Chelsea players during this international break:

Edouard Mendy: 2 Clean Sheets
Ngolo Kante: 1 goal

Mateo Kovacic: 2 goals

Jorginho: 1 goal

Olivier Giroud: 2 goals

Hakim Ziyech: 3 goals
️, 2 assists

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Callum Hudson-Odoi: 2 assists
, 2 goals
️ (U21)
Thiago Silva: 1/1 clean sheet
Timo Werner: 2 goals


#InternationalBlues

Nyie PUNDA kama PUNDA aka NYUMBU kama NYUMBU wekeni na takwimu za wachezaji wenu tuone walicho vuna kwenye mataifa yao.
 
timu zetu za vijana ziko weak sana aisee
kikosi cha man U U23 kina wachezaji wawili tu ambao ni zaidi ya miaka 20, waliobakia wote ni watoto wadogo, mejbri na watoto wengine wawili wana miaka 17 na wapo U23, kuna wachezaji 10 wanaqualify kucheza U18 ila wanacheza U23.

ukienda U18 kuna wachezaji kibao wana miaka 16, kuna miaka 16 wengi kuliko 18

U18 sasa hivi ipo nafasi 4 imepitwa point 2 na wa juu, na ina viporo viwili.

greenwood alitakiwa awe U18 kule lakini sio tu hayupo huko, hata U23 hayupo bali yupo kikosi cha kwanza, tunawapa nafasi sana vijana na tunawapa challenge zaidi ya umri wao ndio maana Academy ya Man U ina wachezaji wengi zaidi uingereza.

kuna majembe wengi wana kwenye vijana wetu, na Ole amefanya kazi kubwa kusajili watoto, kina Puigmal, mengi, mejbri, etc.
 
Ila huyu Hanibal Mejbir sijui ndiyo Messi ajaye ?

Kwa mambo anayoyafanya hata Facundo Pellistri hawezi kufanya
 
Sema hizi timu zetu za youth zimekuwa zina madogo ambao tunaona ni next big thing lakini kadri muda unavyokwenda hizi ndoto zinapotea..Greenwood hajatuangusha so far
Siyo kwenye timu yetu tu hivi Lamasia kuzalisha talent ya level za kina Iniesta, Xavi na Messi ilikuwa lini?

Hata Man city pamoja na academy yao mpaka sasa mchezaji mzuri waliyezalisha mwenye promising future ni Foden na Sancho tu.

Liverpool mchezaji pekee ambaye ameshaprove kwenye elite level ni Alexander Anold tu lakini siyo kwamba hawazalishi talent huko chini.

Chelsea wanazalisha vijana wengi sana lakini wengi huishia midlevel career wanapotea.

Atleast United we can brag about na talents tunazozalisha kwenye kikosi chetu mpaka tuna wachezaji 5
Rashford, Greenwood, Paul Pogba, William's, Dean Henderson, Lingard .

Lakini ukiangalia Epl kwenye vilabu vingine tunawachezaji wengi sana ambao wameibukia kwenye academy za united.
Michael Keane, Drinkwater, Joshua King etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…