Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa wewe takataka hayo makombe luka aliyapata kwa kupewa? Ci uwezo wake binafsi ndo umempa hayo mafanikio..bruno "Man of the match" una mfananisha na Balllon'Dio Winner
 
Mwenzio huyo katoroka kwao, ana siku zaidi ya tatu hajatokea.
Tena sio yeye tu, mpaka kaka yake AronArsenal
Yani hizi takataka zimepata nguvu kwa sababu ya Intaneshno briki sasa zinaanza kuandika uharo
 
Midfielder sio lazima awe defensive ama attacking tu, Pogba anachezeshwa kama box to box (sawa na Timu ya taifa). Na ni katika nafasi hii ndio unapata quality zake zote ikiwemo long pass.
Box to box ni mfumo au aina ya midfielder mfano wa Fred?
Hakuna attacking midfielder ambaye ni box to box midifilder,,,
Pogba anapaswa acheze attacking zaidi ,acheze juu..
Akizungukwa na midfilders creative mfano wa Bruno na VDB au mata.
Nimeshuhudia mechi nyingi za united wakchezesha attacking midfilder mmoja tu ambaye ni Bruno pekee ,
chini yupo mactommy na Fred.

Martial
Rashford. Greenwood.
Bruno

Fred. Mactommy

Shaw. ,lindleof, magwea. Wbs

Degea.
Hapo pana attacking midifilder wangapi?
Ole akiona anazidiwa atamwingiza either VDB,,au pogba kurudi kwenye mfumo wa double attacking midifilders..
Kwann asiwaanzishe hao mmoja kati ya pogba au VDB?tuwe attacking zaidi?
Hatuwezi kuwa hatari zaidi kwenye eneo la adui kama tukiendelea kutumia mfumo wa double dmf.
Ukizingatia hatuna natural winger mfano wa Sancho..
Unategenea nn?
Fred na mactommy hawana pasi za mwisho za magoli,,sasa unategemea Bruno pekee ndy atengeneze nafasi?
Ole abadilike.
 
Pogba azungukwe na VDB na Juan Mata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…