sasa hivi ndio mlichobakiza hicho,kutukana watu matusi, maana mpira umewashinda.ulikua wapi wewe kiazi ulipofungwa na man city ...na tuliposhinda dhidi ya PSG ulikua wapi, pumbu wewe siku nyingine tukishinda uje uwe unatupa heshima yetu, nyau wewe,
Hiyo ni game ngumu sana kwa United miaka yote.Nina wasiwasi game ya everton watashinda hawa ili kutupooza machungu
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Siku hizi nitakua natembea na panado kwenye mechi za Manchester United, maana sio poa.Kesho mtashinda mwanangu , Ndio mpira kuna matokeo matatu,
Mimi nikifungwa huwa naumwa malaria kabisa
Kwa mechi nilizoangalia tunavyocheza vibaya naweza kusema wazi kabisa siyo fitness tena ni TACTICAL ISSUE.Upo sahihi
Hata ukiangalia game yetu ya mwisho, wenzetu wakipata mpira wana haraka ya kwenda golini kwetu, lakini sisi tukipata hatuna haraka na tunawapa wapinzani muda wa kurudi kupaki basi
Pia Ole (Ole means benchi lote la ufundi) hana plan B, timu pinzani inapotukamata kwenye counter attack zetu basi timu inakuwa haina njia mbadala, mfano ninaamini mechi ya juzi tunge opt long balls kuanzia dakika ya 70 tungeweza kupata kitu
Halafu tuna shida ya kupasi ili tuonekane tuna pasi lakini sio kupasi ili tupate goli, yote hii ni down to poor coaching
Kusema kweli mimi game za United kama nina appointment na demu baada mechi huwa nacounsel maana tulifungwa nitaishia kuuza hiyo mechi na mimi.Siku hizi nitakua natembea na panado kwenye mechi za Manchester United, maana sio poa.
Stats zinambeba kwa epl.wapi fernandez?
Inatakiwa game ya Everton tupigwe, tuende nafasi ya 17...halaf baada ya international games, tupigwe tena tuende tushuke zaidi nafasi hadi ya 23 huko..
Kusema kweli mimi game za United kama nina appointment na demu baada mechi huwa nacounsel maana tulifungwa nitaishia kuuza hiyo mechi na mimi.
It pains sana kufungwa hasa na timu usiyoitarajia halafu unacheza mpira mbaya kuliko hata watoto wa shule.
game na everton labda mshinde njaa,mpaka sasa mwenye uhakika wa kushinda ni everton. mumfunge everton kwa mpira gani mlionao? tena everton yuko nyumbani.msubirie mechi iyajo baada ya everton muwafunge hawa wba, halafu mfungwe na southampton nyumbani kwake.
Hiyo ni game ngumu sana kwa United miaka yote.
Binafsi nilikuwa na matumaini ya kushinda mechi zote tulizocheza baada ya Newcastle isipokuwa game na Everton.
Kama tutashinda ni vizuri ila sitegemei matokeo positive dhidi ya Everton, hawa jamaa hawajawahi kuwa easy prey wa United hata wawe vibaya kiasi gani lazima watusumbue.
mkuu mechi iko wazi kabisa manyumbu wanakufa pale goodson park,ila mashabaki wa manyumbu hawalionihilo baada ya mechi wanakuja kulaumu kocha na wachezaji, na wakati mechi ilikuwa wanafungwa kabisa kama vile liverpool yupo nyumbani anacheza na shelfield united au fulham mechi kama hiyo iko wazi hizo timu zikifungwa na liverpool hakuna cha ajabu hapo.Anceloti master plans akifungwa na Ole nasha william mimi naacha kuvaa mitumba rasmi.
Kwa mechi nilizoangalia tunavyocheza vibaya naweza kusema wazi kabisa siyo fitness tena ni TACTICAL ISSUE.
Pochetino hana tofauti yoyote na Ole na wote ni mr yes man kama Ole tu.Hivi mkuu, kwa uwelewa wako, pochetino ana maajabu yoyote anaweza kutuonyesha?
Maana me naona kama tutakua tunaendelea kutesti mitambo!
Me naona kama tukomae tu na jamaa mpaka mwisho wa ligi, tuone itakuaje?
Siamini maneno ya mashabiki (wanaotaka ushindi tu) kua Ole hana uwezo wa kufundisha Manchester United.
Chengine haya mambo ya kubadili makocha kila kukicha, kila siku tutajikuta tunaanza moja tu.
#Timuole#
Sure ikishinda inakushangaza, ikifungwa inakushangaza pia.United ya sasa hivi hutakiwi kuwa na matumaini kwenye game yoyote, ili kupunguza disappointments
Tactical flaws ni nyingi sana.Kabisa mkuu, kuna tatizo tactically
Inatakiwa game ya Everton tupigwe, tuende nafasi ya 17...halaf baada ya international games, tupigwe tena tuende tushuke zaidi nafasi hadi ya 23 huko..
🤣🤣🤣🤣🤣Niambie Bruno ana goal ngapi??? ukiacha penalties ambazo anataka hadi za timu pinzanj
Nikiwa ninataka comedy huwa naingia uzi wa manyumbu.Inatakiwa game ya Everton tupigwe, tuende nafasi ya 17...halaf baada ya international games, tupigwe tena tuende tushuke zaidi nafasi hadi ya 23 huko..