haya bwana
Member
- Mar 15, 2020
- 69
- 122
Baada ya kuingia pogba na Cavani Chelsea ilibidi warudi nyuma kudadadeki.Wanaosema mechi ilikuwa boring sijui wanatumia vigezo gani. Mechi ilikuwa nzuri na tume-outshine Chelsea. Timu hii imekamilika to be frank, tunahitaji mbinu za kuwa tnashinda mechi na kocha kuinua viwango vya baadhi ya players pamoja na kuongeza morali ya players.
Man of the match, ni Mendy.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hili swali na mimi nimejiuliza sana.Any one, why James start and not Greenwood?
Hahahahahah haya bwanaTuna point saba na tuna game moja,hao wanaoitwa wakali wa epl,man city na liva hali zao hohe hahe,sasa sijui huwa tunafananishsa nan?au everton na leeds?
So far tupo vizuri,naiman katikat ya mwezi november tutakua even better.
By z way liva kashapigwa anatafuta mpira kwa tochi,naona klop kamfata referee analalamika eti kazima taa uwanjani,mpira hauonekani
Tuna point saba na tuna game moja,hao wanaoitwa wakali wa epl,man city na liva hali zao hohe hahe,sasa sijui huwa tunafananishsa nan?au everton na leeds?
So far tupo vizuri,naiman katikat ya mwezi november tutakua even better.
By z way liva kashapigwa anatafuta mpira kwa tochi,naona klop kamfata referee analalamika eti kazima taa uwanjani,mpira hauonekani
Rudia tena kusoma uone kama kuna sehemu nimeandika mechi kumi.......Ila nyie jamaa hamna shukran aisee, Rashford ni katika wachezaji watatu wakali zaidi under 23, Mbape na Haaland wanachomzidi Rashford ni kwamba wanacheza ligi rahisi zaidi, ila huyu jamaa yupo same level na hao jamaa kwenye uchezaji.
Japo Man U hatujaanza Vizuri ligi jamaa amecheza mechi 5 za Ligi na Uefa ana Goli 3 na assist 2, average ya contribution ya goli 1 kila mechi. Hizi sio stats za mtu anaekera mechi 10.
Inatakiwa kila mtu ashinde mechi zake, ukijilinganisha na timu nyingine ni makosa, wakati nyingn zinafanya vibaya wew fanya vizuri ili uwe na point nyingi mana nia ni unatakata ubingwa.Tuna point saba na tuna game moja,hao wanaoitwa wakali wa epl,man city na liva hali zao hohe hahe,sasa sijui huwa tunafananishsa nan?au everton na leeds?
So far tupo vizuri,naiman katikat ya mwezi november tutakua even better.
By z way liva kashapigwa anatafuta mpira kwa tochi,naona klop kamfata referee analalamika eti kazima taa uwanjani,mpira hauonekani
ulikua wapi wewe kiazi ulipofungwa na man city ...na tuliposhinda dhidi ya PSG ulikua wapi, pumbu wewe siku nyingine tukishinda uje uwe unatupa heshima yetu, nyau wewe,Daniel James anakimbia hovyōhovyo kama kuku wa kafaral
ulikua wapi wewe kiazi ulipofungwa na man city ...
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app