Uzi wetu umejaa negativity sana, cha kuwashauri mashabiki wenzangu wa United tusipoteze muda na nguvu zetu kujibu comments ambazo zinatoka kwa watu wanaojifanya wanajua soka kumbe ni hewa tu.
Inasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni un
Tafsiri y underdog ni timu yenye nafac finyu kushinda mchezo husika....hata united alipoenda kucheza n psg jnne aliingia km underdog hii ni kutokana n form yake recently...we utakuwa umetafsiri maana ya underdog kuwa n timu ndogo!Inasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni underdog!!!
Na una admit kwamba Manchester United kweli alikuwa na nafasi ndogo kushinda kwa PSG!!!!!Tafsiri y underdog ni timu yenye nafac finyu kushinda mchezo husika....hata united alipoenda kucheza n psg jnne aliingia km underdog hii ni kutokana n form yake recently...we utakuwa umetafsiri maana ya underdog kuwa n timu ndogo!
Kwanini tumeshindwa kumwamini Ole halafu tuamini vyombo vya habari ambavyo mara nyingi huwa vinaandika habari za uongo dhidi ya united ?
Fuatilia mabango ya jezi kifuani pesa zake zikoje na Chevrolet wanalipaje na mabango ya Clubs kubwa zingine
Hata Bayern nae ana sponsors sana mno yawezekana hata anaipita Utd kwenye sponsors (I guess sina cover ya data)
Skysport ni chombo cha kuaminika na huwa wanatabia ya kulinda maslahi ya wachezaji wa kiingereza..so ukiona mpaka wamepublish hiyo taarifa ujue kuna ukweli ndani yake.
Umewaza na kunena vyema mkuuUzi wetu umejaa negativity sana, cha kuwashauri mashabiki wenzangu wa United tusipoteze muda na nguvu zetu kujibu comments ambazo zinatoka kwa watu wanaojifanya wanajua soka kumbe ni hewa tu.
Wengi wanajaribu kufanya trolls ili waonekane tu wanajua soka. Zipo comments nyingi humu kutoka kwa mashabiki pinzani na zina hadhi ya kujibiwa na kutengeneza hoja.
Uzi ni wetu huu tuna haki ya kuzipita negative comments kimyakimya na kujibu zile zinazoweza kujenga hoja. Haustahili kumjibu mtu anayesema Manchester United ni underdog kwa PSG: Mtu anatumia term ya underdog hata haelewi siyo mahala pake.
Wana haki ya kuandika chochote humu ila na sisi tukae kimya, jibu la mjinga ni kukaa kimya.
betting na vibanda umiza ...wananuka jasho na miguuInasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni underdog!!!
Niliona kwenye media reports kwamba hata Chevrolet walikuja gundua baadae kuwa walilipa hela nyingi mno za bango kwenye jezi zenu★Yawezekana ko huna uhakika usituletee vitu vyakufikirika mzee★
NdioKwahyo tukija England man utd ni klabu kubwa ila tukitoka nje ya England Liverpool ni kubwa kwasabu ana CL nyingi eti![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unashangaa hebu pigia mstariKwahyo tukija England man utd ni klabu kubwa ila tukitoka nje ya England Liverpool ni kubwa kwasabu ana CL nyingi eti![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Skysport si katika media za kuaminika 100% hawa sio wabaya kama Goal na Dailymail ila pia hawajafikia level za Bbc na telegraph.★it's cool Buddy kila mtu aamini tu anachoamini kwa hiyo mpaka Sky Sports huwaamini media kubwa kama ile itengeneze kick kwa dogo kama yule ishindwe watu wakubwa wenye mashiko kama akina CR7 na LIME10??? Watengeneze attention ya watu kwa Mason [emoji37]kwa unaarufu gani alopo nao nikama ITV wazungumzie muhogo mchungu wat a shame[emoji32][emoji27][emoji17]★