Kikosi ni kizuri kwa kweli..Mimi nadhani kama Ole kweli ni kocha bora basi atumie akili zote kupata best of it..Tuanzebe hewani mzuri sana pia ni mtulivu..Sio mbaya siku wakajaribishwaMimi ni kati ya watu ninaamini kwamba United tuna wachezaji wazuri, kwa Uingereza tupo miongoni mwa top 4 ya timu zenye vikosi vizuri
Mimi ni kati ya watu wanaotaka sana legendary mchezaji wetu Ole afanikiwe pia akiwa kocha
Tatizo la Ole hana consistence, amekuwa kocha mwenye mafanikio kwa mechi kubwa (timu kubwa) ambazo ni chache, ndio maana kuna wakati ninaamini ni kocha mzuri kwenye hamasa na man Management kuliko mbinu
Leo ametumia mbinu nzuri ya kuwaheshimu PSG na kucheza counter attack
Pia hakuweka sana high line ambayo kibelenge Mbape ndio huwa anataka
Ameweza pia kumdhibiti Neymar kutokana na tabia yake ya show game na kung'ang'ania mipira... Kila alipokaa na mipira sekunde mbili akajikuta amezungukwa na watu kama akina Fred na Tominay na kunyang'anywa mipira
Pia ameweza kuwatumia Axel na Shaw kwenye kuwadhibiti wakimbeza Mwenge wote wa PSG pindi unapopigwa mpira wa mbio mbio
My concern Tuanzebe leo ameanza out of necessity, Maquire akipona Lindelof na Maquire watarudi kwenye namba zao (mimi nataka Tuanzebe na Maguire ndio waanze)
Kumsahau Fred ni dhambi kubwa sana ambayo hutasamehewa mkuuBinafs leo shukrani zangu ziende kwa AWB, Degea, mac tomne pamoja na Tuanzebe.
Jamaa wamekichafua balaaa.
Wale wazee wa Alhamisi siwaoni leo.
Wapinzani wa utd wakiwa hawaamini matako yao, huyo wa mbele apo ndiye Papaa Gx [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1606811
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona Dully Jr ana chungulia na mbichwa wake utafikili kalai la mihogo.
Hawatoonekana humu wiki nzima amini kwamba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Set up ya mechi moja hii.Mourinho wako kaongoza goli tatu dakika ya 83 zikaanza kurudi zote..
Set up ya timu leo ilikuwa babu kubwa..Ole na benchi wapewe credit zao
The icemanLindelof mmemsahau au ndio hana bahati yakusifiwa?
Ila bado tujue mtu prkee km mashetani hayajapanda, anayechezesha timu kwa pass sahii kivipimo ni Paul. Paul anajua kusambaza mipira kwenye sehemu sahihiHiki kiungo kitatamba kwa timu laini laini tu at the middle..trust me..Fred+Scot ni real deal..
Kwangu mie huyu ni bora kuliko Ally.Lindelof mmemsahau au ndio hana bahati yakusifiwa?
Mchezaji anakua judged kutokana na performance yake i.e. hata cr7 kunawakati alizomewa na madrista na kunawakati alishangaliwa.Lindelof mmemsahau au ndio hana bahati yakusifiwa?
Unajisikiaje?Hii Mechi Manchester United hashindi
10 straight away win in club history.haichezi kifala, ni tactics tu, unbeaten ya mechi 24 tumeivunja leo, hawajawahi fungwa makundi toka 2004 uwanja wao.