Refa alikuwa anasubiria ampe nani red card. Full utata ngome kongwr
haya wazee mumesaidiwa mtu mmoja kapunguzwa na kagoli kwani ngoma ngumu hata kwa timu ndogo kama hii munahitaji msaada?
haya wazee mumesaidiwa mtu mmoja kapunguzwa na kagoli kwani ngoma ngumu hata kwa timu ndogo kama hii munahitaji msaada?
Kusaidiwa ndiyo nini? Sheria namba 12 ya FIFA inaagiza kwa kosa lile ya Kagosi, adhabu yake ni kadi nyekundu.
Labda kama unamaanisha tumesaidiwa na sheria hiyo!
nakubali sheria lakini ile si ilizungumzwa na marefa wote kuwa wapunguze jazba ikiwa kweli hakuhitajiki kutowa adhabu kubwa mbili kwa pamoja basi kadi ya njano inatosha lakini kwavile gemu ngumu na uhakika wa kushinda zaidi ya goli moja inabidi refa afanye vitu vyake na hasa Fegi yupo pale
Naona mzee wa kujiangusha anatoka. Mskofiiii.