Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,927
- 27,167
Aliyebadili dira ya United ni Pogba. Ukiwa na Fred na Scot, kazi yao ni kutibua na si ku-create. James formation ya timu kwa sasa haim-accommodate vizuri, Donny ni mtu sahihi kucheza nafasi hiyo. Pogba bado licha ya makosa yake, anacheza mipira flani iliyokadriwa na ndiye starman wa United, though bitter to consumeMata anatakiwa kuwepo pia mkuu kalainisha sana timu pogba vilevile atokee bench kuna haja Van de beek kuanza badala ya james
Aliyebadili dira ya United ni Pogba. Ukiwa na Fred na Scot, kazi yao ni kutibua na si ku-create. James formation ya timu kwa sasa haim-accommodate vizuri, Donny ni mtu sahihi kucheza nafasi hiyo. Pogba bado licha ya makosa yake, anacheza mipira flani iliyokadriwa na ndiye starman wa United, though bitter to consume
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Shida yenu mnaongea sana utadhani wanawake wa pwani.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ulitaka aingie nani ?OGS ovyo sana, mechi kama hii unamuingiza Pogba?
Two assist and a goal huu mzigo utakuwa mzito sanaLeo Fernandez amekuwa Mzigo kabisa. Mbali na kukosa penalty lakini anapiga pasi za hovyo sana.
Jana timu imecheza vizuri sana.Hii team ingepata kocha mwenye tact ingekuwa nzuri sana ila kwa huyu Ole ushindi wetu itakuwa siku iyo wapinzani wameamkaje
Jana Bruno alicheza vizuri kuliko wote akifuatiwa na Juan Mata.Bruno na ubovu wake???
We unazungumza baada ya sabu kufanyika, kabla alikua mzigo na alipanic zaidi alivyokosa penaltiTwo assist and a goal huu mzigo utakuwa mzito sana
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hivi chelsea mna matatizo gani vichwani mwenu ?Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.
Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea
Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Hongereni kipofu kaona mwezi.