Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Fabrizio Romano: AC Milan wanted to offer €20m for a buy option for Diogo Dalot, but United refused as they believe the player is more important than that.★


#GGMU



manutd |
 
Bayern mechi 3 zilizopita kafungwa goli 9 ole kaharibu hadi huko? Vipi inter nao kwanini wame concede goli 6?
Subirini wachezaji warudishe fitness timu itarudi kwenye winning way, huwezi ukakaa kocha amecheza mechi 50+ una ignore vyote na kumjudge kwa mechi 3 tena za mwanzo wa msimu.
 
Unazungumzia fitness gani wakati kila kitu kinafanana?
Ratiba inazidi kusoma na points zinazidi kuisha na bado tunalilia fitness!!!

Hawa wengine wanaoshinda wanatakiwa wajiondoe baadhi ya mashindano ili fitness iwepo?
 
Statistics never lie but liers use statistics



Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa manyumbu mtu anajipa takwimu zake za kumfurahisha na wewe unazibeba. Anyway, jikaze.
Sijawahi kuitwa hilo jina, na wala nikiitwa hainisumbui kichwa as long as hainipunguzii chochote.

Back to the topic, umeulizwa tangu aje Bruno EPL zaidi ya KDB nani mwingine kamzidi assist? Ukajifanya hujaelewa ukaji confine kwa msimu huu tuu, sasa nani anatumia takwimu kujifurahisha hapo?

Leta stats tangu Bruno kaja EPL, acha maneno ya vijiweni.
 
Sawa nikaleta za msimu huu nikaleta na za msimu uliopita.

Tuzo ya top assisst msimu uliopita imechukuliwa na Kevin. Namba mbili ni Trent. Bruno hayupo hata 10 bora.

Kisha nyinyi mnasema nilete takwimu za tangu afike yeye. Mimi nilimuuliza jamaa now ngoja nikuulize wewe.

Baada ya Kevin kugewa tuzo. Zilifanyika tuzo zingine za tangu Bruno aje? Kama hapana mi nakosea wapi nikisema mmeamua kujifurahisha kwa hizo stats unrelated.
 
Sasa mtu kaja January unalinganisha na watu waliocheza tangu August msimu unaanza? Man, you are better than that I believe.

Let us agree to disagree.
 
Sasa mtu kaja January unalinganisha na watu waliocheza tangu August msimu unaanza? Man, you are better than that I believe.

Let us agree to disagree.
Achana nae mkuu jamaa nilikuwa naona ni mchambuzi japo ni Cheltako fc ila hamna kitu
 
mkuu Tanayzer interview nyengine hii ya Bruno
“Basically none of what was said happened. There was not a word from me in the dressing room, because I thought it was not the time to speak, even because we were losing”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…