Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama mnataka mwalimu wa kuwapa vikombe Pochetinno ana muda mrefu kwenye career kuliko Ole na hana hata kombe la mbuzi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
At least tuta enjoye burudani ,kuliko kukosa vyote.
Ole hawezi mpira wa burudani,,
Ole hawezi mpira wa ushindani.
Afadhali timu angepewa giggs..viatu alivyovalishwa ni vikubwa kuliko miguu ya ole.
 
Hizo big matches unacheza ngapi kwa msimu?

Kati ya mechi 38 za ligi unakutana na mechi kubwa almost 10 tu. Unashinda hizo kubwa, unapoteza au kudraw 28 za timu ndogo.

Kama kuwafunga makocha wakubwa ni ubingwa basi Ole anatakiwa apewe tuzo.

Kocha bora ni yule anayejaza makabati silverware kwa gharama yeyote.

Mou aliachana na EPL akakomaa na Europa kwa gharama zozote na tukapata.

Ole bado anabahatisha. Hata uwanjani unaona tunacheza kwa kubahatisha au kutegemea mood ya wachezaji ipoje.
Priority kwa msimu uliopita haikuwa EUROPA ilikuwa kurudisha timu kwenye UCL he did that.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Priority kwa msimu uliopita haikuwa EUROPA ilikuwa kurudisha timu kwenye UCL he did that.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mbona hata morinho alichukuwa europa na akatimuliwa next season?
Van gaal alichukuwa FA na bado akafukuzwa..
Timu haichezi vizuri..
Kila siku inarudi chini,,
Viwango vya wachezaji vinashuka kila siku...
Tatizo ni ole,,
Bila kumfukuza mapema anaweza kusababisha team nzima ikashuka Kiwango..
 
Mpaka sasa sijui nisimamie wapi?
Akili isha change na kuniambia Ole hana uwezo wa kufundisha timu yetu, lakini najiuliza, tushabadili makocha wangapi?

Jamani hii timu yetu inapitia njia aliyo ipitia Liverpool miaka ya nyuma.
Cha msingi kama tuna ipenda timu yetu haina budi tuvumilie tu.
 
Mbona hata morinho alichukuwa europa na akatimuliwa next season?
Van gaal alichukuwa FA na bado akafukuzwa..
Timu haichezi vizuri..
Kila siku inarudi chini,,
Viwango vya wachezaji vinashuka kila siku...
Tatizo ni ole,,
Bila kumfukuza mapema anaweza kusababisha team nzima ikashuka Kiwango..
Hili la kushuka viwango vya wachezaji & kucheza mpira mbovu, ndilo ninalo unga mkono wanaosema Ole kilaza.

Kupoteza game ni kitu cha kawaida kwenye soccer, lakini hata mpira tunaocheza ni mbovu? hapo ndipo nakosa imani na kocha.
 
Hilo ni tatizo la mashabiki wa man u duniani kote ,,
Wanaunga mkono ole kutimuliwa..
Hata kama team inapoteza mchezo inategemea inapoteza kwa team zipi?
Team inafungwa hata na team zenye wachezaji wa mafungu?
 
OLE HAPA HUTOKI!!!

Newcastle
Hii mechi hata tukishinda itakuwa ni kwa tofauti ya goli 1 (1 - 0, 2 - 1, 3 - 2) au droo kabisa.

PSG
😂😂😂 Weee! Sema tena "Mountains are there to be climbed."

Chelsea
😂 Ole hana mbinu zitakazompa japo point 1 kutoka The Blues.

Leipzig
Kama vile inakuja inakataa. Hii tunaweza shinda ila... 😂

Arsenal
Hapa tunashida, chini ya Ole timu yetu ni mbovu ila Arsenal hana nafasi ya kuondoka hata na point 1.

Nawaona mnaozidi kumpigia chapuo Ole ila ukweli tu ni kwamba Ole ni mweupe.

Nimetoa comment hapo juu kwa upcoming fixtures, guess what? Kuna possibility kubwa timu itapata matokeo mazuri sana;

Sasa hapo ndiyo Ole ataonekana bora ila kiukweli kazi kubwa itafanywa na uwezo binafsi wa wachezaji, wachezaji wetu wanajitahidi sana kuficha makosa ya Ole.

Ole it's time to go; eti United sasa hivi ni ya kuwazia game ya Newcastle, United ya sasa ni ya kuwazia timu kama Leipzig. Kwa kikosi tulichonacho ni dhahiri Ole ana uwezo mdogo. Mnaondelea kumsifia endeleeni, Ole kapewa muda wa kutosha angalau kucheza soka safi uwanjani, angalau timu kuwa na 60% ikiingia uwanjani.

Ila Ole na vijana wake wanajificha kusema "hatupewi first choices" "timu haikuwa fit, hatukuwa na pre-season matches"

#OleOUT
 
Tukiachana na mapungufu ya bodi na Ed Woodward hii timu toka alivyoondoka Fergie ni kama hawatrain vizuri,atleast kipindi cha LVG mpira ulikuwa unapigwa,yaani unaona philosopy yake..Kaja Moyes tukawa utopolo,kaja Mourihno na soka lake la kubahatisha bahatisha haeleweki kabisa ili mradi timu inapata ushindi,huyu Ole ndo kabisa haeleweki anataka timu yake ichezeje..Ed kama utamsack Ole basi pia nafasi ya Director of Football iletwe na ijazwe na mtu wa mpira kweli kabla hata ya kuappoint kocha mwingine.

Inaonekana hata intensity ya mazoezi bado ipo chini maana wachezaji hata fiziki zao bado sana..

✓Maguire ametoka leicester ambako alikuwa kitasa,mfungaji wa magoli kwenye mipira iliyokufa n.k..kaja United kacheza vizuri kidogo na baada ya hapo amekuwa utopolo

✓AWB gemu zake za mwanzo alikuwa ni mtu anayejiamini na hakuna mtu alikuwa anampita..now days upande wake umekuwa utopolo mfano hakuna

✓As a matter of fact Fernandes wa February na March sio huyu tunayemuona sasa..Na kuna tetesi ile gemu ya spurs half time aliwasha moto balaa kwa kuwamind teammates na Manager pia ndo maana hakurudi second half

✓Daniel James gemu za mwanzo alikuwa unstopable,ila kwa sasa karudi kuwa Engllish League 1 player

✓Uwezo wa wachezaji wetu unaporomoka day by day

°°°°It seems like Ole,Carrick,McKenna na Phelan hawaleti vitu vizito kwenye meza°°°°

"""Kwa kikosi hiki tulichonacho naamini tukipata kocha anayejua soka ni lazima timu icheze kama timu inayoweza kutawala ulaya soon""

For the meantime tujifiche kwenye kivuli cha timu kukosa fitness,then wachezaji wakipata fitness tuambiane
 
Kumbe
IMG_20201011_113927_881.jpg

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nyie pundamilia mnaombea siku siziende haraka haraka
Sasa Cavan ndio atasaidia magoli yasiingie???
 
Amad Traore, kinda wa ki Ivory Coast aliyesajiliwa na United majira ya joto na anatazamiwa kuwasili majira ya baridi yaani January 2021

Amezungumziwaje

Papu Gomez (Atalanta Foward): He is a future star, trust me. During our training session he seems like Messi. You can't stop him, he is unbelievable, our center backs have serious problem when Traore is on the pitch... he is fantastic

United walianza kumfuatilia tangu mwaka 2014, let's wait and see
 
Tukiachana na mapungufu ya bodi na Ed Woodward hii timu toka alivyoondoka Fergie ni kama hawatrain vizuri,atleast kipindi cha LVG mpira ulikuwa unapigwa,yaani unaona philosopy yake..Kaja Moyes tukawa utopolo,kaja Mourihno na soka lake la kubahatisha bahatisha haeleweki kabisa ili mradi timu inapata ushindi,huyu Ole ndo kabisa haeleweki anataka timu yake ichezeje..Ed kama utamsack Ole basi pia nafasi ya Director of Football iletwe na ijazwe na mtu wa mpira kweli kabla hata ya kuappoint kocha mwingine.

Inaonekana hata intensity ya mazoezi bado ipo chini maana wachezaji hata fiziki zao bado sana..

✓Maguire ametoka leicester ambako alikuwa kitasa,mfungaji wa magoli kwenye mipira iliyokufa n.k..kaja United kacheza vizuri kidogo na baada ya hapo amekuwa utopolo

✓AWB gemu zake za mwanzo alikuwa ni mtu anayejiamini na hakuna mtu alikuwa anampita..now days upande wake umekuwa utopolo mfano hakuna

✓As a matter of fact Fernandes wa February na March sio huyu tunayemuona sasa..Na kuna tetesi ile gemu ya spurs half time aliwasha moto balaa kwa kuwamind teammates na Manager pia ndo maana hakurudi second half

✓Daniel James gemu za mwanzo alikuwa unstopable,ila kwa sasa karudi kuwa Engllish League 1 player

✓Uwezo wa wachezaji wetu unaporomoka day by day

°°°°It seems like Ole,Carrick,McKenna na Phelan hawaleti vitu vizito kwenye meza°°°°

"""Kwa kikosi hiki tulichonacho naamini tukipata kocha anayejua soka ni lazima timu icheze kama timu inayoweza kutawala ulaya soon""

For the meantime tujifiche kwenye kivuli cha timu kukosa fitness,then wachezaji wakipata fitness tuambiane
Leo tunaongelea usajili wa CB. Kweli? Yani tutoe £80M wa mtu tutakaye mtafutia replacement baada ya msimu mmoja tu?

Ukiwa na kocha anayejielewa na anafahamu mbinu basi hata LB tungeendelea watumia Shaw au Brandon na timu ingeleta matokeo.

Utashangaa nafasi ya AWB nayo inatafutiwa mtu.

Tatizo lipo kwenye benchi na sio wachezaji wala Ed.
 
Back
Top Bottom