The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Unapoambiwa Bruno fundi uwe unaelewa
Duuh! Upo serious mkuu!? Pale kulikuwa na vyuma kama; Fuchs, Huth, Morgan. Maguire hakuwepo hapo kwenye ubingwa wao!Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Ishapita hiyo mkuu.Duuh! Upo serious mkuu!? Pale kulikuwa na vyuma kama; Fuchs, Huth, Morgan. Maguire hakuwepo hapo kwenye ubingwa wao!
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
klop aliishusha daraja Mainz watu wanajisahaulisha.Nilichotaka kuonyesha ni kwamba hata hao big managers ameshapoteza finals na semi finals nyingi tu.
Kwahiyo kumdharau Ole kwa kupoteza three semi finals.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na ole aliishusha daraja cardiffklop aliishusha daraja Mainz watu wanajisahaulisha.
ole ameshindwa kuinusuru cardiff kushuka, msimu ambao Cardif walishuka daraja kocha wa Cardif alikuwa makay baadae akafukuzwa timu ilipokuwa chini akapewa ole.Na ole aliishusha daraja cardiff
Unataka kuongea nini hapa??
Watu wanataka Ole aanze kazi three years ago awe na makombe tayari na uzoefu wa kutosha.klop aliishusha daraja Mainz watu wanajisahaulisha.
Ongeza volumeklop aliishusha daraja Mainz watu wanajisahaulisha.


Kimsingi EPL itaongozwa na makocha wenye experience kubwa i.e.Ancelot,Pep na KlopWatu wanataka Ole aanze kazi three years ago awe na makombe tayari na uzoefu wa kutosha.
Kitu ambacho siyo kumtendea haki kabisa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu,,Kuna watu wanamtaka Pochetino ambaye nothing he has won so far mpaka sasa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kama mnataka mwalimu wa kuwapa vikombe Pochetinno ana muda mrefu kwenye career kuliko Ole na hana hata kombe la mbuzi.Mkuu,,
Mpira ni magoli.
Mpira ni burudani.
Vyote man u hatuna kwa sasa..
Huwezi kuvutiwa kuangalia mechi ya man u
Tusubiri mwisho wa league.Kimsingi EPL itaongozwa na makocha wenye experience kubwa i.e.Ancelot,Pep na Klop
Hao wengine kina lampard,solskjaer et al wataendelea kupata uzoefu tu ila sio matokeo makubwa unless wawe na bahati kitu ambacho ni very rare kwenye ushindani unaozingatia collection of points.
Nadhani hukunielewa mkuu..Kama mnataka mwalimu wa kuwapa vikombe Pochetinno ana muda mrefu kwenye career kuliko Ole na hana hata kombe la mbuzi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ilimchukua miaka mingapi Pochetino kuwa na timu ya ushindani pale Spurs ?Nadhani hukunielewa mkuu..
Ukiachana na mafanikio ya timu ambaye ni vikombe..
1..Mpira una burudani..
2.. Magoli..
Ole hakiwezi hata kimoja kwenye hilo..timu inashindwa kuonyesha burudani kwenye uchezaji,,hata magoli pia hatupati..
At least huyo pochetino ameonyesha anaweza kuleta mpira wa burudani hapo man u,,tukisubiri vikombe.
Ole amewezeshwa kila kitu kulinganisha na huyo pochetino alipokuwa Totten ham...
Ninaani akiwezeshwa ni zaidi ya burudani kwa man u
Mwisho wa siku hata wachezaji wazuri wameuzwa na Ole.Ole ameshindwa kazi, ujanja ujanja wa visingizio hauna nafasi sana
Tuliambiwa awe na timu yake, amekuwa na wachezaji anaowataka yeye (kwa kusajili na kuondoa asiowataka)
Isitoshe ameshatuambia kwamba "actually the board is supporting me massively", sasa kwanini tuangaike na bodi inayomsapoti Ole
Hizo big matches unacheza ngapi kwa msimu?Ukizungumzia tactical ability kwa Ole mimi nakupinga.
Ole ameshawafunga makocha wote wakubwa EPL nadhani ukiondoa Klopp tu tena akiwa na squad mbovu zaidi last season.
Tactical brilliance ya mwalimu huonekana kwenye mechi zinazohitaji ufundi mwingi hasa big matches Ole did that to his best last season akiwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa.
Ole ana mapungufu yake as a manager but not tactical brilliance.
Mapungufu nayoyaona mimi kwa Ole he is not a leader material pia anapenda Laissez faire Attitude.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
OleOle these coming weeks namuonea huruma sana