Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pro Ole ndio hoja yao hiyo kwamba Ole hapati first targets

Ole always amekuwa akisema ana back up kubwa ya board

Na hamna sehemu nimesema Ole amelalamika kwamba hapati first target
Na hapa ulikuwa unalaumu nini kama siyo hoja ya mwalimu kukosa first target?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Tunamlaumu Ole kwa uwezo mdogo

Hivi katika hali ya kawaida ile mechi ya Spurs na United, timu ipo pungufu mchezaji mmoja, halafu unamtoa Bruno badala ya Pogba?

Upo nyuma mchezaji mmoja bado unaendelea na plan ya kufanya build up kutoka nyuma (kosa la Bailly ni much more down to coach than Bailly himself)
Tactical flaws za mechi moja moja hutokea tu hata kwa makocha wengine pia.

Tukitumia mechi ya Tottenham alone kama kipimo tunakosea.

Every manager has had his bad days Mourinho imeshamtokea na Ferguson ilishamtokea similar na ile yaliyomtokea Ole.

Kama umeangalia tactical analysis za mechi yetu na Tottenham kuna mambo mengi yamechangia kufungwa siyo tactical flaws alone.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Chelsea hakutwaa ubingwa
Hakuwa na squad ya kufanya rotation kwa muda mrefu.

Wachezaji wengi wamekuja kuimarika baada ya lockdown.

Tournaments wakati mwingine zinaamuliwa na bahati tu.

Na katika kila timu iliyomtoa OGS semi final wametwaa ubingwa cant you see that fact?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Okay..

So mkuu,Ole ana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri msimu huu?..Let's forget about how we start this campaign
Kwa msimu huu hana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri kama squad haitasumbuliwa na injuries

Ana squad kubwa kwenye defence, midfield na attacking sasa hivi anaweza kucheza mfumo wowote uwanjani kutokana na kuwa na wachezaji wanaofit mifumo yote.

Tumeanza vibaya kwa sababu ya match fitness with time tutaimarika na kuanza kupata matokeo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwa msimu huu hana sababu yoyote ya kushindwa kufanya vizuri kama squad haitasumbuliwa na injuries

Ana squad kubwa kwenye defence, midfield na attacking sasa hivi anaweza kucheza mfumo wowote uwanjani kutokana na kuwa na wachezaji wanaofit mifumo yote.

Tumeanza vibaya kwa sababu ya match fitness with time tutaimarika na kuanza kupata matokeo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tubaki basi "Positive" hii tuone mambo yatakavyokuwa
 
Kwanza kitendo cha kufika semi finals tatu kwenye tournaments tatu ndani ya msimu mmoja ni cha kupongezwa sana cause hakuna kocha mwingine aliyefanya hivyo except OGS.

Huoni kuwa tactical brilliance yake ni kubwa kucheza tournaments tatu unafika semi zote na timu inaingia top 3 epl kwa squad ambayo ina deadwoods wengi namna ile ?

Haya ni mafanikio alihitaji kupewa mahitaji yake sawa sawa na board.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.
Kuhusu kufika nusu fainali tatu kwa mtizamo wangu ule ulikuwa uwezo binafsi wa wachezaji na kilichokosekana pale ni mbinu za ole ili tuingia fainali kabisa.
Wachezaji wametoa ushindi 60% na ole alitakiwa kumalizia 40% kwenye mbinu ili timu ishinde matokeo yake ikawa kinyume.
 
Kupoteza nusu fainali 3 ni kudhihirisha kwamba kocha hana mbinu

We are talking about one, two, three semi finals here
Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.
Kuhusu kufika nusu fainali tatu kwa mtizamo wangu ule ulikuwa uwezo binafsi wa wachezaji na kilichokosekana pale ni mbinu za ole ili tuingia fainali kabisa.
Wachezaji wametoa ushindi 60% na ole alitakiwa kumalizia 40% kwenye mbinu ili timu ishinde matokeo yake ikawa kinyume.
 
UMEMWONA Edinson Cavani? Anapiga tizi la kutosha kivyake akiwa amejitenga kama kanuni ya janga la virusi vya corona inavyohitaji baada ya kunaswa na Manchester United.

Straika huyo wa kimataifa wa Uruguay, Cavani, 33, alituma video yake Instagram akipiga tizi kali kujiweka fiti huku akiwa na uzi wa mazoezi wa Man United.

Cavani alisaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine zaidi huko Man United wenye thamani ya Pauni 200,000 kwa wiki. Lakini, sasa baada ya kuwasili kutoka Ufaransa, atalazimika kujifungia kwa siku 14 kutokana na kanuni za corona. Kama mambo yatakuwa hivyo, Cavani hatacheza dhidi ya Newcastle United, Oktoba 17 na atakuwa na siku moja tu ya kujiunga na wenzake kabla ya kuwakabili timu yake ya zamani Paris Saint-Germain.

Unaambiwa hivi, Cavani ni balaa jingine linapokuja suala la kufunga. Tangu aanze kucheza soka, wachezaji wanaomzidi kwa mabao ni wawili tu, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Zaidi ya hapo, atatua Ligi Kuu England ambako hakuna straika yeyote anayeweza kumshinda kwenye kufunga kuanzia Harry Kane wa Tottenham, Sergio Aguero wa Manchester City, Mohamed Salah wa Liverpool, Pierre-Emerick Aubameyang wa Arsenal na hata Jamie Vardy wa Leicester City hawatii mguu kwa fowadi huyo matata.

Katika Ligi Kuu tano bora za Ulaya, kuanzia Machi 11 2007, ni Ronaldo na Messi pekee yake ndio wanaomzidi Cavani kwa mabao, ambapo ndani ya muda huo, ametikisa nyavu mara 250. Anashika namba tatu kwa mabao nyuma ya Ronaldo na Messi. Ronaldo anayekipiga Juventus kwa sasa amefunga mabao 416, wakati staa wa Barcelona, Messi amefunga mabao 432. Cavani alihitaji mechi 413 kufunga mabao 250, wakati Ronaldo mabao yake aliyofunga alihitaji mechi 433 na Messi mechi 450. Amepita kwenye timu za Palermo, Napoli na PSG kabla ya sasa kutua Man United, huku akifunika mastraika wote waliopo Ligi Kuu England.

Ndani ya muda huo, Aguero amejaribu kufurukuta akifunga mabao 248 na walau anamkaribia Cavani kwa mastaa waliopo Ligi Kuu England kwa sasa. Aguero amecheza idadi sawa ya mechi na Cavani, ila anazidiwa mabao mawili. Tano bora ya mastaa waliotikisa nyavu mara nyingi kwenye Ligi Kuu tano bora za Ulaya kwa kuanzia Mei 11, 2007 inakamilishwa na Zlatan Ibrahimovic, mwenye mabao 245 katika mechi 330. Mabao yake mengi Cavani alifunga akiwa na kikosi cha PSG.

Alifunga mabao 138 katika mechi 200. Kwenye kikosi cha Napoli kwanza alipocheza kwa mkopo akitokea Palermo alifunga mabao 26 katika mechi 35 na baada ya kubeba jumla, alifunga mabao 52 katika mechi 69 kabla ya kusajiliwa na PSG. Kwenye kikosi cha Palermo alifunga mabao 34 katika mechi 109.
 
Mmmh kwamba ktk EPL hamna straika atakayemshinda kwa magoli...haahaa yetu macho ngoja tumuone
 
Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Mzee baba ile leista iliyochukua ubingwa sikuwahi muona magwaya pale nyuma zaidi ya. Huth sijui booth na lile niga lenye roho mbaya hatariiiii
 
Pamoja na kamba huwa tunaongelea united kuondoa wachezaji mizigo huwa hatumaanisha first eleven yetu bali wachezaji wa akiba. Hivyo Ole ana wachezaji wa kikosi cha kwanza daraja la juu sana kulinganisha na timu zilizomtoa nusu fainali kasoro city labda.
Kuhusu kufika nusu fainali tatu kwa mtizamo wangu ule ulikuwa uwezo binafsi wa wachezaji na kilichokosekana pale ni mbinu za ole ili tuingia fainali kabisa.
Wachezaji wametoa ushindi 60% na ole alitakiwa kumalizia 40% kwenye mbinu ili timu ishinde matokeo yake ikawa kinyume.
Hii ni REAL BIAS.

yaani kutoka huko hatua zingine zote ni uwezo wa wachezaji ila kushindwa kufika finali iwe ni mbinu za mwalimu.

Tusimpe jina baya Ole simply hatumpendi.

Back
Top Bottom